Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Kuna watu waloulizaSwali: Kwanini serikali haitoa ufafanuzi sababu ya Bunge kuvunjwa tarehe 03/08/2025 licha ya hizi tetesi zinazoendelea?
Hapa si bure, huu ukimya wa serikali una jambo nyuma yake.
Muda utasema.
Kwanini alichelewa kuingia bungeni na hapakuwa na taarifa?
Kwanini Mpango hakuonekana bungeni?