Tanganyika inaongozwa na wageni toka Zanzibar kimabavu kama ilivyokuwa enzi ya utawala wa makaburu wa Africa kusiniIla kuongozwa na raia wa kigeni sio sawa
Tanganyika inaongozwa na wageni toka Zanzibar kimabavu kama ilivyokuwa enzi ya utawala wa makaburu wa Africa kusiniIla kuongozwa na raia wa kigeni sio sawa
ccm olijino hawamtaki mama Kaburu mkoloni toka Zanzibar isipokuwa chawaccm ibirisi wa ccm wachache wanufaika wa uonevu utekaji na mambo haramu ya kishetaniKwani aliteuliwa na nani huyu, si alijiteua mwenyewe?
Kwa wingi wao hao CCM ambao hawakuridhika na uteuzi ule wakikomalia hili kuna wa kuwashinda?
Na wao wakisema hata kura za mazingaombwe hawampi, ataendelea kukaza shingo?
GENGE kwa ujumla wao hawakubali; na wale wenzao waliopoteza chama wakitaka chama chao kirudi hapo sijui itakuwaje?Mchengerwa na Abdul hawatakubali
No reforms no election👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu, wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
Dr. Nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo, kukinusuru chama!
Mtu mzalendo anatakiwa kushika nafasi hiyo! Ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
Wameshamsahau Lissu, NRNE na uchaguziHii movie ina episod ngapi nikaitazame...?
MonduliHivi Nchimbi ni timu gani? Maana tunajua 2015 alikuwa Team Nywele Nyeupee
Sasa ni sasa acha ya nyuma mbona kule nyuma alikuwa hateki kuua watu kuwabambikia kesi lakini sasa amekuwa Dikteta katili? Wewe mnufaika wa manyanyaso kwa chadema utakufa kwa Laana na mkoloni kaburu toka Zanzibar atarejea kwao baada ya Tanganyika kuwa huru na muungano kufaKupigwa chini na nani!? Walishindwa kumpiga chini wakati ule sembuse Sasa...!?
CCM hawana uwezo huo.
Umenifurahisha mkuu. Eti team yeye!Team yeye mwenyewe.Yule Nchimbi lazima atakuwa Rais kwa vyovyote vile.
Timu Tanganyika hataki muunganoMonduli
We mgeni wa jukwaa tuliaHabari za ndani ya kapeti zipo JF !?
Ya Senegal na Zambia yanaenda kutimia
JidanganyeWe mgeni wa jukwaa tulia
Taratibu mkuu 'macho'. Kuna jambo kuu hapa. Samia kujiyeuwa aliwastukiza, hakuna aliyejuwa hilo litafanyika.Mkuu hakuna lolote. Hizi ni propaganda na huenda zinaenezwa na TISS. Yaani kwa kutumia akili ndogo tu utaona kuwa kama ni mabadiliko yangeshatokea tangu mwanzoni.
Ibirisi wa ccm kikundi cha wizi wa pesa za walipa kodi kinachoongozwa na Amos makala ndiyo hujidai wapo na Mama mkoloni kaburu kwa unafiki Lakini ccm ya akina Bashiru na wenzao hawamtaki mama kaburuCCM hawawezi kuwa wazigawa baiskeli na vipodozi vyenye bendera ya CCM huku wakiwa na mgogoro wa chini kwa chini.
isipokuwa kama kuna makundi mawili makubwa yanoshindana kwa sasa.
Dalili za kuwepo kwa makundi makubwa mawili ni Luhaga Mpina na Askofu Gwajima ambao hadi leo hawajaathirika na pilikapilika za Abduli na shemeji mtu.
Kundi moja laonekana kuzidi kushika nguvu kubwa.
AsituvurugeWe mgeni wa jukwaa tulia