Kwani kesi za ulawiti zilikuwa tayari, zinajulikana kama sasa. Hii ni matokeo ya Muhusika kudharau vitu muhimu, hivyo kudhihirisha hata kwa Mama mbogaMkuu hakuna lolote. Hizi ni propaganda na huenda zinaenezwa na TISS. Yaani kwa kutumia akili ndogo tu utaona kuwa kama ni mabadiliko yangeshatokea tangu mwanzoni.