The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Hutaki auAcheni uzushi
Hutaki auAcheni uzushi
Mje na familia zetu, na msijifiche kenya mpaka mnaogopa kuja kuzika wazazi wetu hapo na sisi tutatokaWaitishe maandamano one last time, watu wasipotoka kila mtu aendelee na shughuli zake kwakweli. Maana ninkujichosha!
Ilikuwaje baada ya Jakaya akafuatia Pombe?Kulingana na katiba, raisi akitoka bara anaefuata ni visiwani. Mda wa JPM anaumalizia mama, anaefuata ni kutoka Zanzibar.
Hata mimi nishawaza, hivyo hizi ni propaganda.PMkuu hakuna lolote. Hizi ni propaganda na huenda zinaenezwa na TISS. Yaani kwa kutumia akili ndogo tu utaona kuwa kama ni mabadiliko yangeshatokea tangu mwanzoni.
KAtiba ya wap hiyo.Kulingana na katiba, raisi akitoka bara anaefuata ni visiwani. Mda wa JPM anaumalizia mama, anaefuata ni kutoka Zanzibar.
🤣🤣🤣🤣Sisi viti maalum tunasikilizia tu 😁
Kahawa mnakunywa aiseeJWTZ ambayo mkuu wake ana ndugu Rwanda upande wa baba yake ? Huu ni uwongo na propaganda labda ungesema ndani ya chama wao kwa wao.
We ngiri pori ni useless sperm. Huoni ht haya? Jitu zima na mapumbu yako unaandika haya matope? Mburukenge kweli👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
View attachment 3388499
Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
Katibu mkuu ni mtu aliye karibu sana na aliyekuwa afisa ubalozi ktk ubalozi wa Tanzania nchini Brazil ambaye sasa ni mkurugenzi mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Bw. Suleiman Mombo.Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, watatu kutoka kulia ni Mama Balozi Jane Nchimbi, Bw. Frank J. Mhina, Afisa Ubalozi na Mkuu wa Utawala; na Bw. Suleiman Abubakar Mombo (the Plenipotentiary Minister of the Embassy) yaani Afisa Mwandamizi wa Ubalozi.
| .PICHA TOKA MAKTABA : |
![]() |
| Balozi Dkt. Nchimbi na Mama Balozi Jane Nchimbi, wakisindikizwa Mara baada ya kumaliza kuwasikisha hati za Utambulisho kwa Rais |
Wewe kama haujui haujui sikulazimishi mimi naongea facts.Kahawa mnakunywa aisee
We una ndugu wapi Oman air Dubai?
Nchi iko stable…. Kama mnataka vurugu nendeni gomaNibora tu mkuu, acha kututisha
We unajuwa Nini bwana kamwambie mmeo huo ujinga na upuuziWewe kama haujui haujui sikulazimishi mimi naongea facts.
😅 😅 😅 😅We unajuwa Nini bwana kamwambie mmeo huo ujinga na upuuzi
Kwanza wewe sio Mtanzania!!
Imagine tuHebu imagine miaka mingine 5 chini ya huyu mama