Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

Hata huyo Nchimbi hatumtaki CCM ni ile ile sisi kama wananchi wazalendo tunaona CCM haifai tena kuongoza nchi hii. Uwezo wao mdogo kwasababu kila anayeingia haongozi kwa weledi na atakayejaribu basi atawekewa zengwe mwishoni na yeye ataingia kwenye siasa zile zile za maji taka uuaji ,ufiraji ,rushwa nk rejea kwa JPM mzalendo wa kweli ambaye sytem ikamfanya kua katili wa kutupwa.
Utabiri wa marehemu shekhe Yahya sasa ni zamu ya chadema ya Senegal na Zambia na pia Mandela yanaenda kutokea Tanzania
 
Nchimbi atamuua Samia. Nchimi alimuua mtoto wa Malecela ,Ipyana kisa Uongozi UVCCM
Kumbukumbu hii inatisha sana, to say the least; kwa wale waliokuwepo na kushuhudia tukio hilo.
Mambo mengi hujizima tu kwa muda, na kuibuka kama uyoga yanapopewa nafasi kujirutubisha.
 
kati ya vitu nitakavyofurahi na kumshukuru Mungu ni pale huyu mzanzibari akiondoka Tanganyika ambako amefunga hadi makanisa watu wasiabudu wakati yeye anaenda kuswali kama kawaida. Watanganyika tuamke, hakuna uzalendo hapo kwa huyo mama na kijana wake abdul.
Muungano ufe Tanganyika iwe huru
 
Mmefikia kiwango Cha juu Cha ulaghai,hili likipita sijui mtakuja na lipi au Lissu kwenda kula ubwabwa au Lissu kutenguliwa IDU,au Lissu apigiwa kura ya hapana CDM 😆😆😆
Bado unavuta Bangi hapo Ghetto kwa Amos makala? Wewe mnufaika wa utekaji mauaji kuwabambikia kesi za uongo utakufa kwa laana
 
file_00000000a19c61f7a8a31c72919aef6b.png
 
Watanzania tupo kama mazezeta Fulani hivi. Tunabweka bweka tu kuilaumu serikali na watawala lakini hatuchukui hatua.
Tukiwa mtandaoni tunabweka kuwachukia watawala, lakini hao watawala wakiitisha mikutano mnaenda na mnajaa kama sisimizi, HIVI HAMNA KAZI ZA KUFANYA???

Mnasema JWTZ, TISS n.k ndo wataleta ukombozi, wakati huo hao wanaleta ukombozi nyie raia mtakuwa mnafanya nini?? Yaani umekalisha matako yako unasubiri watu wangine wakuketee ukombozi??? Huko Kenya wanaoleta shinikizo la mabadiliko ni vyombo vya usalama au Raia?? Usikute hapo JWTZ wanasubiri raia mkiamshe wao waunge mkono sema raia ndo zimekaa kishoga shoga hazijielewi

Chadema kutwa wanapambana wakipigania mabadilko na ukombozi, angalia raia Sasa wanaopiganiwa, wapo wapo tu kama ******* ******* Fulani hivi.

Pumbavu matako yenu
Na ww si Mtz
 
Attachments

  • 466A4311-2C38-4AA1-85C9-8CD34C19F257.jpeg
    466A4311-2C38-4AA1-85C9-8CD34C19F257.jpeg
    53.7 KB · Views: 20
Ngoja tuone Malisa akienda kuchukua fom ya kugombea kama atapewa,kasema ataenda kuchukua fom tarehe 1/7/2025
 
Back
Top Bottom