Sasa uliniuliza nilipo ili iweje? Karibu Bujumbura!Mambo ya kutekana ni ushamba

Nakuuliza labda ww raia wa huko unatoa pole kwa raia wa hukuSasa uliniuliza nilipo ili iweje? Karibu Bujumbura!
Lala wewe, kesho uwahi kuhangaikia familia! Kwani haiwezekani mtu kuishi nchi ambayo siyo yake?Nakuuliza labda ww raia wa huko unatoa pole kwa raia wa huku
Jipe pole piaLala wewe, kesho uwahi kuhangaikia familia! Kwani haiwezekani mtu kuishi nchi ambayo siyo yake?
Walishasema wageni ni wengi kwenye nafasi nyeti nchiniMafia cartels...by the way watashindana na jw...jw wako kwa ajili ya wananchi na hua hawaongei sana..
Mkuu umetisha ,umeleta na ushahidi kabisa, salute kwakoView attachment 3388566
unakumbuka hii post yako? Mwaka 2011 ulisema humjui Ipyana, inawezeka vipi umjuwe mwaka 2001?
Mlifikiri lisu ni anko wenu mbowe mliyemlea wenyewe ,mwananyamala na maeneo yenu mengineAcheni uzushi
Hizi sio tetesi tena ni ndoto za alinachq👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu, wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
Dr. Nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo, kukinusuru chama!
Mtu mzalendo anatakiwa kushika nafasi hiyo! Ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
Inawezekana kukatokea mabadiliko, lkn si kwa kumruhusu Chombo agombee! Labda mchakato wa ccm uanze upya!👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu, wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
Dr. Nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo, kukinusuru chama!
Mtu mzalendo anatakiwa kushika nafasi hiyo! Ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
Yap!kumbe tayariHahahahhahah mission itakuwa accomplished na hapo ndipo misamaha itaombwa na hahaha vifo na kuuana. Unajua Dkt Samia alianza vizuri sana ila tulimtahadharisha sana sisi wambea kuwa Mama unadanganywa ili uharibikiwe. Hata kama haitakuwa hivyo Dkt Samia anapaswa kutambua kijiti cha urais hakuwa sehemu ya mpango angejua basi angefanya kama Dkt Mpango. Ila sasa sijui itakuwaje maana hahaha ⚰️☕️
Bado upo kijiweni tu mjomba?👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu, wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
Dr. Nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo, kukinusuru chama!
Mtu mzalendo anatakiwa kushika nafasi hiyo! Ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
🚮🚮 Mtaota Hadi 2030.👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu, wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
Dr. Nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo, kukinusuru chama!
Mtu mzalendo anatakiwa kushika nafasi hiyo! Ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
Labda hiyo ni menu ya Ugali kwa bamia 🤣 !QUP !?
Mimi sijawahi kuwapenda CCM, ni mtu ninayeamini hii Nchi haikua tayari kuongozwa na aina ya Rais tuliyenaye.Sasa ni sasa acha ya nyuma mbona kule nyuma alikuwa hateki kuua watu kuwabambikia kesi lakini sasa amekuwa Dikteta katili? Wewe mnufaika wa manyanyaso kwa chadema utakufa kwa Laana na mkoloni kaburu toka Zanzibar atarejea kwao baada ya Tanganyika kuwa huru na muungano kufa
Safi👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu, wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
Dr. Nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo, kukinusuru chama!
Mtu mzalendo anatakiwa kushika nafasi hiyo! Ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
Hivi mkuu ikitokea hivyo,Coup = Mapinduzi ya kijeshi.
Ima faimaMchengerwa na Abdul hawatakubali
NO REFORMS NO ELECTION NDIO DAWA HIYO YA KUKOMESHA WEZI NA UJINGA UJINGA WA KISHENZI.👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu, wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi