Dialogist
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 1,512
- 2,508
Mkuu ikikupendeza, maelezo kidogo hapa... kwamba Nchimbi hafai ni bora Mpango? Ama sijakuelewa..🚮🚮 Mtaota Hadi 2030.
Kwanza mtu kama Nchimbi si Bora Mpango Sasa 😂😂
Mkuu ikikupendeza, maelezo kidogo hapa... kwamba Nchimbi hafai ni bora Mpango? Ama sijakuelewa..🚮🚮 Mtaota Hadi 2030.
Kwanza mtu kama Nchimbi si Bora Mpango Sasa 😂😂
Sasa wewe unaona huyo anafaa Kwa lipi? Ana ushawishi gani? Mimi namfahamu Toka anakuwa Mbunge Songea hajui kuongea.Mkuu ikikupendeza, maelezo kidogo hapa... kwamba Nchimbi hafai ni bora Mpango? Ama sijakuelewa..
Mkuu heshima nyingi. Asante sana.Taratibu mkuu 'macho'. Kuna jambo kuu hapa. Samia kujiyeuwa aliwastukiza, hakuna aliyejuwa hilo litafanyika.
Imewachuwa muda hili tukio kuwaingia ndani kabisa sasa, na kutambuwa uhuni waliofanyiwa.
usipuuze CCM kama chama kuwa mateka wa kundi fulani; siyo chama cha wanachama tena sasa hivi!
Hakuna aliyekuwa tayari kujitokeza wakati huo, lakini wakati mwafaka ni sasa; hili nalo usilipuuze katika uchambuzi wako.
Ongeza humo humo na "NO REFORM, NO ELECTION" inavyo endelea kuwa tishio, pamoja na kwamba kila mbinu zimetumika kuizima bila mafanikio.
Kwa hiyo lipe muda na nafasi kulitafakari hili. Ni jambo zito sana.
Hahahahahaaa.... Mzee naona umeamua kumletea V.A.RView attachment 3388566
unakumbuka hii post yako? Mwaka 2011 ulisema humjui Ipyana, inawezeka vipi umjuwe mwaka 2001?
Naamini huo mstari wa mwisho hukuyatumia maneno hayo kiurahisi rahisi tu.Naunga mkono hoja.
Bi mkubwa hakubaliki kwa wananchi
Kulazimisha Bi mkubwa awe rais ni hatari kwa usalama wa nchi
Nyambafu,katiba haisemi hivyo.Huu mwaka walitakiwa waingie ulingoni wote.Katiba inasema mgombea mkuu akitoka Tanganyika, mwenza anatoka Zanzibar and the otherway around is true.Kulingana na katiba, raisi akitoka bara anaefuata ni visiwani. Mda wa JPM anaumalizia mama, anaefuata ni kutoka Zanzibar.
😂😂😂Sasa wewe unaona huyo anafaa Kwa lipi? Ana ushawishi gani? Mimi namfahamu Toka anakuwa Mbunge Songea hajui kuongea.
Mpango anajua kuongea kuliko Nchimbi.
Ila wewe sio Tumia akiliUnasomaga maandishi ya Tumia akili . Ile hati huwa ni mbovu na mbaya. Achana na hizo kama mwalimu wa lugha. Hapa ni ujumbe tu. Ukiuelewa basi.
Wakatika mwingine hawa vijakazi wa kazi maalum hujiandikia tu ilimradi wasionekane kama ni watu makini.
Nchimbi amekuwaje Mwenyekiti wa Uvccm Taifa kama hajui kuongea?Sasa wewe unaona huyo anafaa Kwa lipi? Ana ushawishi gani? Mimi namfahamu Toka anakuwa Mbunge Songea hajui kuongea.
Mpango anajua kuongea kuliko Nchimbi.
Unawaza kitambaa cheupe na The Great?Hivi mkuu ikitokea hivyo,
Kutembea mtaani huwa mwisho saa gapi?
SOMOE NI SCAM. HANA UWEZO . NCHI INAHITAJI GREAT MIND AND INTELLIGENT PEOPLEUnawaza kitambaa cheupe na The Great?
Wewe Ingabire wewe!Nchimbi atamuua Samia. Nchimi alimuua mtoto wa Malecela ,Ipyana kisa Uongozi UVCCM
Basi ni hivi hatokaa auone Urais , biashara yake imeishia hapo hapo kwenye u VPNchimbi amekuwaje Mwenyekiti wa Uvccm Taifa kama hajui kuongea?
Na Uvccm ya Dr Nchimbi ndio Uvccm ya mwisho kuheshimika baada ya hapo Uvccm imebaki kuwa ni wing ya machawa tu.
Ili kuokoa nchi, maana tulikuwa tunaenda kuitwa Jamuhuri ya wabakaji na upoteaji wa watu👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu, wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
Dr. Nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo, kukinusuru chama!
Mtu mzalendo anatakiwa kushika nafasi hiyo! Ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
Acha kujibizana na watoto.Nchimbi amekuwaje Mwenyekiti wa Uvccm Taifa kama hajui kuongea?
Na Uvccm ya Dr Nchimbi ndio Uvccm ya mwisho kuheshimika baada ya hapo Uvccm imebaki kuwa ni wing ya machawa tu.
Kama ile ziara ya mama yako tanga kipindi kile?Yuko nje ya nchi kumwakilisha Mhe. Rais kwenye mikutano mbalimbali Nigeria na Spain. Uliza lingine wa kuungaunga, kwani ulitaka kusemaje?