Unasema hivyo kwenye hili Taifa Wewe kama nani?Basi ni hivi hatokaa auone Urais , biashara yake imeishia hapo hapo kwenye u VP
Mimi kama Emanueli misalabaUnasema hivyo kwenye hili Taifa Wewe kama nani?
Endapo aki **** Na kusababisha taifa litangaziwe tanzia huoni anaweza kuwa raisi kama huyu tulie nae sasa?Basi ni hivi hatokaa auone Urais , biashara yake imeishia hapo hapo kwenye u VP
Sasa kazi ya Mungu haiingiliwi ila kazi ya binadamu haitafanikiwa.Endapo aki **** Na kusababisha taifa litangaziwe tanzia huoni anaweza kuwa raisi kama huyu tulie nae sasa?
Sawa KikweteMimi kama Emanueli misalaba
Tuko palee na nasisitiza hakuna wa kumtoa Samia Hadi 2030 atakapomaliza mda wake na Cha kumfanya hakipo.
🚮🚮Sawa Kikwete
Alkina Stroke na kipara kipya walijihakikishia kuwa chuma atakuwepo milelekama wewe hivi.Mimi kama Emanueli misalaba
Tuko palee na nasisitiza hakuna wa kumtoa Samia Hadi 2030 atakapomaliza mda wake na Cha kumfanya hakipo.
Nasisitiza kazi ya Mungu haiingiliwi ila ya binadamu itazuiwa.Alkina Stroke na kipara kipya walijihakikishia kuwa chuma atakuwepo milelekama wewe hivi.
Hii tetesi itachukua muda gani kuwa Breaking news na kishapo News alert?👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu, wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
Dr. Nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo, kukinusuru chama!
Mtu mzalendo anatakiwa kushika nafasi hiyo! Ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
Hizi hekaya umeziokota kijiwe Gani cha gahawa?
Kwamba!TETESI.AIJIPI WAMBULA AWAGOMEA JW KUHUSU KUTAKA WANAYEMTAKA.AWAAMBIA WASITHUBUTU HATA KIDOGO FULLSTOP
Mzee usiwe unajijibu mwenyewe hapaJuly Kuna mambo
Ni ngumu kumbadilisha namna Hiyo labda itumike ile QUP wanayopanga hapo kisota
Britanicca,
We jamaa wewe!!!Nchimbi atamuua Samia. Nchimi alimuua mtoto wa Malecela ,Ipyana kisa Uongozi UVCCM
Labda ni kikao cha sekretariet, kikao cha kamati kuu hakiongozwi na katibu mkuu, bali kinaongozwa na Mwenyekiti Samia.View attachment 3389831
Wakati wanatunga hizi njozi, Nchimbi alikuwa anaendesha kikao cha kamati kuu kuelekea uchukuaji wa form za ubunge na madiwani.
Akili zao zinawatosha wenyewe
Ya Chuma ilikua ni Kazi ya Mungu au ya binadamu?Nasisitiza kazi ya Mungu haiingiliwi ila ya binadamu itazuiwa.
NamMwaka huu Watauana sana