Waitu mushanage?Hawana jeuri hiyo.
Hawajawahi kuangalia uzalendo hao, wanajali maslahi binafsi tu, unachoongea ni kitu kisichowezekana.
Habari za ndani ya kapeti zipo JF !?👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu, wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
Dr. Nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo, kukinusuru chama!
Mtu mzalendo anatakiwa kushika nafasi hiyo! Ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
Hao ndio lastline ya wazalendo, wangekuwa watu watamaa hii nchi ingekuwa imesha vamiwa long timeHawana jeuri hiyo.
Hawajawahi kuangalia uzalendo hao, wanajali maslahi binafsi tu, unachoongea ni kitu kisichowezekana.
QUP !?July Kuna mambo
Ni ngumu kumbadilisha namna Hiyo labda itumike ile QUP wanayopanga hapo kisota
Britanicca,
Kwa Tanzania hii iliyosheheni mafurushi ya chawa, utasubiri sana!👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu, wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
Dr. Nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo, kukinusuru chama!
Mtu mzalendo anatakiwa kushika nafasi hiyo! Ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
Kuna clip inasikika sauti ya Kikwete akisema bunge litavunjwa Septemba.Swali: Kwanini serikali haitoa ufafanuzi sababu ya Bunge kuvunjwa tarehe 03/08/2025 licha ya hizi tetesi zinazoendelea?
Hapa si bure, huu ukimya wa serikali una jambo nyuma yake.
Muda utasema.
Mkuu hakuna lolote. Hizi ni propaganda na huenda zinaenezwa na TISS. Yaani kwa kutumia akili ndogo tu utaona kuwa kama ni mabadiliko yangeshatokea tangu mwanzoni.Swali: Kwanini serikali haitoa ufafanuzi sababu ya Bunge kuvunjwa tarehe 03/08/2025 licha ya hizi tetesi zinazoendelea?
Hapa si bure, huu ukimya wa serikali una jambo nyuma yake.
Muda utasema.