Samia kutangazwa mgombea urais je Sheria ya uchaguzi kwa mujibu wa katiba haijavunjwa?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Swali dogo hasa kwa Hawa wafuatao;

1. Wizara ya Sheria na katiba.
2. Bunge.
3.Mahakama
4. Vyombo vya ulinzi.
5. Vyombo vya usalama.
6. Vyama vya upinzani
7.Tundu lissu.
8. Magazeti na vipeperushi.
9. Tv na radio
10.madhehebu ya dini.

Je rais Samia kujitangaza mgombea urais hajakiuka katiba na Sheria za uchaguzi?
 
Ngoja tusubiri maelezo ya Tume
 
Kwenye Siasa za Kikomunisti/Ujamaa kuna Itikadi Kali inaitwa Juche, Je, unaijua misingi ya Itikadi hiyo ya Juche?

. Mkubwa huwa hakosei!
 
Swali dogo hasa kwa Hawa wafuatao;

1. Wizara ya Sheria na katiba.
2. Bunge.
3.Mahakama
4. Vyombo vya ulinzi.
5. Vyombo vya usalama.
6. Vyama vya upinzani
7.Tundu lissu.
8. Magazeti na vipeperushi.
9. Tv na radio
10.madhehebu ya dini.

Je rais Samia kujitangaza mgombea urais hajakiuka katiba na Sheria za uchaguzi?
Katiba ipi? Mbona tulikwisha acjana na katiba kitambo ndiyo sababu tangu singie madarakani amekuwa akifanya kampeni ya urais.
 
Swali dogo

Je rais Samia kujitangaza mgombea urais hajakiuka katiba na Sheria za uchaguzi?
Hajakiuka katiba wala sheria yoyote. Uchaguzi ni mchakato wa hatua mbili, hatua ya kwanza ni michakato ya vyama, hatua ya pili ni mchakato wa Tume. Kwa sasa ni mchakato wa ndani, uko ok kabisa!. Na kwa vile mimi ni mwelimishaji umma, naomba nikupige darsa...
  1. Kwanza nikurekebishe, Rais Samia, hajajitangaza yeye, bali ametangazwa na chama chake, ambapo vyama viko huru kutangaza wagombea wake wakati wowote, mfano hata CCM ikiamua kuzuia watu kupigana vikumbo mwaka 2030, inaweza kuamua kumtangaza mgombea wake wa urais kwa uchagizi wa 2030 kuwa ni Dr. Emmanuel Nchimbi, hivyo kutuliza munkhali ya 2030, hakuna ubaya wowote!.
  2. Tofautisha uteuzi wa vyama na uteuzi wa wagombea wa INEC!.
  3. CCM ilichofanya ni uteuzi wa ndani ya chama, lakini uteuzi wa INEC unasubiri kutangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi.
  4. Baada ya Tume kutoa ratiba, sasa ndipo CCM na vyama vingine vyote, vitareua wagombea wake na kupeleka majina ya wagombea wao.
  5. Ni Tume Huru ya Uchaguzi ndio huteua wagombea na kuwatangaza rasmi.
P
 
6. CCM Wemeweka azimio kwahiyo mchakato utapoanza azimio ndio litakuwa msingi wa mchakato na majadiliano yote. Jambo hili limeleta utulivu kwenye Chama na Nchini (Rais anatoka CCM). Rais achape kazi, Nchi ipo mikono salama, Chama (CCM) kipo mikono salama chini ya utendaji wa SG Dkt Nchimbi (mkweli na muwazi).
 
Swali dogo hasa kwa Hawa wafuatao;

1. Wizara ya Sheria na katiba.
2. Bunge.
3.Mahakama
4. Vyombo vya ulinzi.
5. Vyombo vya usalama.
6. Vyama vya upinzani
7.Tundu lissu.
8. Magazeti na vipeperushi.
9. Tv na radio
10.madhehebu ya dini.

Je rais Samia kujitangaza mgombea urais hajakiuka katiba na Sheria za uchaguzi?
Kwa mujibu wa Katiba iliyopo ambayo hata Mwalimu Nyerere aliiogopa alipokuwa nje ya madaraka Rais wa Nchi hii hakuna mahali atakuwa amevunja Katiba kwa sababu Rais amepewa madaraka makubwa sana sana sana mpaka yeye mwenyewe Mwalimu aliyaogopa alipokuwa nje ya madaraka alakini 😂 !
Alipokuwa madarakani hakuona tatizo sana 😂👍 !
 
Swali dogo hasa kwa Hawa wafuatao;

1. Wizara ya Sheria na katiba.
2. Bunge.
3.Mahakama
4. Vyombo vya ulinzi.
5. Vyombo vya usalama.
6. Vyama vya upinzani
7.Tundu lissu.
8. Magazeti na vipeperushi.
9. Tv na radio
10.madhehebu ya dini.

Je rais Samia kujitangaza mgombea urais hajakiuka katiba na Sheria za uchaguzi?
Kwani Mgombea Urais anatakiwa atangazwe lini kwa mujibu wa Katiba? Chama kinaweza kuteua Mgombea Urais wake muda wowote, lakini Time Huru ya Uchaguzi ina muda wake wa kutangaza wagombea.
 
6. CCM Wemeweka azimio kwahiyo mchakato utapoanza azimio ndio litakuwa msingi wa mchakato na majadiliano yote. Jambo hili limeleta utulivu kwenye Chama na Nchini (Rais anatoka CCM). Rais achape kazi, Nchi ipo mikono salama, Chama (CCM) kipo mikono salama chini ya utendaji wa SG Dkt Nchimbi (mkweli na muwazi).
Naunga mkono hoja 💯 ✅✅🙏
 
Ingewezekana angetangazwa kama mshindi wa Urais 2025 ili tuokoe muda na pesa
 
Swali dogo hasa kwa Hawa wafuatao;

1. Wizara ya Sheria na katiba.
2. Bunge.
3.Mahakama
4. Vyombo vya ulinzi.
5. Vyombo vya usalama.
6. Vyama vya upinzani
7.Tundu lissu.
8. Magazeti na vipeperushi.
9. Tv na radio
10.madhehebu ya dini.

Je rais Samia kujitangaza mgombea urais hajakiuka katiba na Sheria za uchaguzi?
Nchi yangu Tz! Muwe mnajielimisha kidogo kabla ya kukurupuka ili kupunguza aibu ndogondogo kama hizi. Tofautisha uteuzi wa tume na wa vyama vya siasa. Kama ni kuvunjwa kwa katiba basi ingekuwa kavunja katiba ya ccm na si ya JMT. Mpaka sasa hakuna mgombea yeyote wa uchaguzi wowote ndani ya JMT aliyetangazwa au kujitangaza(kwanza kimsingi hakuna mgombea anayejitangaza mwenyewe)
 
Hajavunja Katiba kwa Sababu Katiba imempa Mamlaka Makubwa ya kufanya anavyotaka!
 
Hajakiuka katiba wala sheria yoyote. Uchaguzi ni mchakato wa hatua mbili, hatua ya kwanza ni michakato ya vyama, hatua ya pili ni mchakato wa Tume. Kwa sasa ni mchakato wa ndani, uko ok kabisa!. Na kwa vile mimi ni mwelimishaji umma, naomba nikupige darsa...
  1. Kwanza nikurekebishe, Rais Samia, hajajitangaza yeye, bali ametangazwa na chama chake, ambapo vyama viko huru kutangaza wagombea wake wakati wowote, mfano hata CCM ikiamua kuzuia watu kupigana vikumbo mwaka 2030, inaweza kuamua kumtangaza mgombea wake wa urais kwa uchagizi wa 2030 kuwa ni Dr. Emmanuel Nchimbi, hivyo kutuliza munkhali ya 2030, hakuna ubaya wowote!.
  2. Tofautisha uteuzi wa vyama na uteuzi wa wagombea wa INEC!.
  3. CCM ilichofanya ni uteuzi wa ndani ya chama, lakini uteuzi wa INEC unasubiri kutangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi.
  4. Baada ya Tume kutoa ratiba, sasa ndipo CCM na vyama vingine vyote, vitareua wagombea wake na kupeleka majina ya wagombea wao.
  5. Ni Tume Huru ya Uchaguzi ndio huteua wagombea na kuwatangaza rasmi.
P
Je, na ilikuwa sahihi kumtangaza kwenye ule mkutano wa kumpata Makamu Mwenyekiti? Na pia ni demokrasia kumtangaza mgombea mmoja pekee?

Kwa nini chama kisiruhusu wanachama wote wenye sifa kuchukua fomu ya kugombea huo urais, halafu hatua nyingine za mchujo zifuate?
 
Swali dogo hasa kwa Hawa wafuatao;

1. Wizara ya Sheria na katiba.
2. Bunge.
3.Mahakama
4. Vyombo vya ulinzi.
5. Vyombo vya usalama.
6. Vyama vya upinzani
7.Tundu lissu.
8. Magazeti na vipeperushi.
9. Tv na radio
10.madhehebu ya dini.

Je rais Samia kujitangaza mgombea urais hajakiuka katiba na Sheria za uchaguzi?
Kisiasa tunaambiwa hakuna aliyejuu ya sheria. Lakini kuna watu wengi tu wako juu ya sheria na hatuna la kuwafanya.

1. Rais
2. Polisi
3. Wanaccm (hawa hata kauli zao huonekana ni za kiungwana sana hata wakisema wanatuteka hakuna wa kuwahoji wala kuwakemea)
4. Chawa
5. Nyuki
6. Wanaojua kutukana matusi kwa wapinzani
 
Swali hili lijibiwe kwa muktadha wa Sheria ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom