GE2025 Samia: Mabalozi hakikisheni Wananchi wenu wote walioandikishwa wanapiga Kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Mgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni tarehe 07 Oktoba, 2025 katika Kata ya Buhongwa, Wilaya ya Nyamagana, Mkoa wa Mwanza amewataka Mabalozi wahakikisheni Wananchi wote walioandikishwa wanapiga Kura siku ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025.
 
Mgombea ubunge wa kiti cha raisi? Hii kauli sijui anairudia mara ya ngapi na aoni tatizo pamoja na watu kuikosoa mara kadhaa hakuna ubunge wa kiti cha raisi (labda huko haliko Tulia).

Hivi tunafikishaje watu kama hawa at the top of national leadership.
 
Hahaha umeanza tena kumkataa Mayor una tabia za Shammy-
 
Mgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni tarehe 07 Oktoba, 2025 katika Kata ya Buhongwa, Wilaya ya Nyamagana, Mkoa wa Mwanza amewataka Mabalozi wahakikisheni Wananchi wote walioandikishwa wanapiga Kura siku ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025.
Huyu Bibi ameshachanganyikiwa.

Ni majini ya damu tu hapo yanaongea.
 
Hahaha umeanza tena kumkataa Mayor una tabia za Shammy-
Usinifanishe na watu hovyo, mimi siwezi support mauaji ya mtu yeyote kwa sababu ya siasa za ndani.

Janamke sijui janaume lina jina bandia kutwa linatetea damu za watu kumwagika kwa sababu za kijinga; lini umeona mimi natetea upuuzi huo.

Uwa na support serikali inaposhughulikia watu wanaochukua upande wa wageni nchi inapokuwa na migogoro.
 
Usinifanishe na watu hovyo, mimi siwezi support mauaji ya mtu yeyote kwa sababu ya siasa za ndani.

Uwa na support serikali inaposhughulikia watu wanaochukua upande wa wageni nchi inapokuwa na migogoro.
Kweli kabisa mkuu nimeekosea kukufananisha na huyo Shammy- anaesupport Mwafwele kumteka HP, hapo nimeomba radhi kidogo ila wewe uliemponda hua unamsifia balaa ndio maana nikasema umeanza tena kumkataa mara unamkubari mara unamkataa
 
Akumbishwe yeye sio mgombea ubunge kiti Cha uraisi, amekua akichapia hii kila mara.
Pili akumbishwe kupiga kura ni hiari sio lazima
 
Kweli kabisa mkuu nimeekosea kukufananisha na huyo Shammy- anaesupport Mwafwele kumteka HP, hapo nimeomba radhi kidogo ila wewe uliemponda hua unamsifia balaa ndio maana nikasema umeanza tena kumkataa mara unamkubari mara unamkataa
Mimi namsifia Samia, tafadhali sijawahi kumkubali hata siku moja.

Nameteteaga tu anapozushiwa; jizi ndio tena sana tu. Liuaji hapana hizo akili hana (labda mtoto wake) na kundi la wahuni kuuwa wao dakika moja tu.

Sasa kama humkubali mtu aina maana umtungie na uongo pia, I don’t standby those morals.

Kuna watu humu wana tabia ya quote watu na kuwawekea maneno; uwe unaweka kumbukumbu zako. Sometimes unaweza kukuta mtu kani quote na kuniwekea ujinga ambao sijaandika kabisa kuhusu kuitetea serikali.

Vita mbinu na mijitu humu hiko vitani, kukuwekea maneno sio shida kwao.
 
Basi sawa mkuu Mayor Quimby hapo nimekuelewa
 
Kituko cha mwaka kutoka kusema kura ni haki ya mtu hadi kuhimiza mabalozi wasombe watu wakapige kura?

Au siku hiyo magari wanayosomba kwenye mikutano yatakua matengenezo ?
 
..kuna tatizo mahali.

..na tunapaswa kulipatia majibu.

..wananchi wanatakiwa wavutiwe na ilani za vyama na wagombea ili waende kupiga kura.

..kutumia mabalozi kushawishi kupiga kura maana yake ilani na wagombea wameshindwa kushawishi wapigakura kujitokeza.
 
Back
Top Bottom