Kituko cha mwaka kutoka kusema kura ni haki ya mtu hadi kuhimiza mabalozi wasombe watu wakapige kura?
Au siku hiyo magari wanayosomba kwenye mikutano yatakua matengenezo ?
..ilani hazishawishi.
..wagombea hawavutii.
Kituko cha mwaka kutoka kusema kura ni haki ya mtu hadi kuhimiza mabalozi wasombe watu wakapige kura?
Au siku hiyo magari wanayosomba kwenye mikutano yatakua matengenezo ?
Naongezea pia anayegombea hana mvuto wala ushawishi wowote kisera...ilani hazishawishi.
..wagombea hawavutii.
Huyu Mama kachanganyikiwa. Siku hizi kupiga kura ni kulazimishwa sio?Mgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni tarehe 07 Oktoba, 2025 katika Kata ya Buhongwa, Wilaya ya Nyamagana, Mkoa wa Mwanza amewataka Mabalozi wahakikisheni Wananchi wote walioandikishwa wanapiga Kura siku ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025.
Mkuu hata km itakua lzm KURA hazititosha nikupe mfnKwani lazima?
Ni ukweli wengi hatuwakubaliMkuu hata km itakua lzm KURA hazititosha nikupe mfn
Kuna Kata X Kura za wajumbe wote ni 562 ( hao ni wajumbe wote wanamchagua Diwani ktk Kata , means wakipiga wote watakua na KURA hizo tu za kwao,,km Kata ina Wakazi elf kadhaa huyo Diwani atakubalika?
Kuna jimbo wapiga KURA wote ni elf 8 Kata 10, Wakazi laki nane huyu mbunge atakubalika?
Ni huzuni..kuna tatizo mahali.
..na tunapaswa kulipatia majibu.
..wananchi wanatakiwa wavutiwe na ilani za vyama na wagombea ili waende kupiga kura.
..kutumia mabalozi kushawishi kupiga kura maana yake ilani na wagombea wameshindwa kushawishi wapigakura kujitokeza.
mgombea ubunge wa kiti cha uraisi?Mgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni tarehe 07 Oktoba, 2025 katika Kata ya Buhongwa, Wilaya ya Nyamagana, Mkoa wa Mwanza amewataka Mabalozi wahakikisheni Wananchi wote walioandikishwa wanapiga Kura siku ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025.