Hahaha mabalozi wanaoiwakilisha nchi nchi zingineBALOZI NI NANI? WAPO KISHERIA?
Hahaha umeanza tena kumkataa Mayor una tabia za Shammy-Mgombea ubunge wa kiti cha raisi? Hii kauli sijui anairudia mara ya ngapi na aoni tatizo pamoja na watu kuikosoa mara kadhaa hakuna ubunge wa kiti cha raisi (labda huko haliko Tulia).
Hivi tunafikishaje watu kama hawa at the top of national leadership.
Huyu Bibi ameshachanganyikiwa.Mgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni tarehe 07 Oktoba, 2025 katika Kata ya Buhongwa, Wilaya ya Nyamagana, Mkoa wa Mwanza amewataka Mabalozi wahakikisheni Wananchi wote walioandikishwa wanapiga Kura siku ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025.
Usinifanishe na watu hovyo, mimi siwezi support mauaji ya mtu yeyote kwa sababu ya siasa za ndani.Hahaha umeanza tena kumkataa Mayor una tabia za Shammy-
Kweli kabisa mkuu nimeekosea kukufananisha na huyo Shammy- anaesupport Mwafwele kumteka HP, hapo nimeomba radhi kidogo ila wewe uliemponda hua unamsifia balaa ndio maana nikasema umeanza tena kumkataa mara unamkubari mara unamkataaUsinifanishe na watu hovyo, mimi siwezi support mauaji ya mtu yeyote kwa sababu ya siasa za ndani.
Uwa na support serikali inaposhughulikia watu wanaochukua upande wa wageni nchi inapokuwa na migogoro.
Hahaha usitakenichekeMgombea ubunge wa kito Cha urais hapa hamna kitu
Mimi namsifia Samia, tafadhali sijawahi kumkubali hata siku moja.Kweli kabisa mkuu nimeekosea kukufananisha na huyo Shammy- anaesupport Mwafwele kumteka HP, hapo nimeomba radhi kidogo ila wewe uliemponda hua unamsifia balaa ndio maana nikasema umeanza tena kumkataa mara unamkubari mara unamkataa
Basi sawa mkuu Mayor Quimby hapo nimekuelewaMimi namsifia Samia, tafadhali sijawahi kumkubali hata siku moja.
Nameteteaga tu anapozushiwa; jizi ndio tena sana tu. Liuaji hapana hizo akili hana (labda mtoto wake) na kundi la wahuni kuuwa wao dakika moja tu.
Sasa kama humkubali mtu aina maana umtungie na uongo pia, I don’t standby those morals.
Kuna watu humu wana tabia ya quote watu na kuwawekea maneno; uwe unaweka kumbukumbu zako. Sometimes unaweza kukuta mtu kani quote na kuniwekea ujinga ambao sijaandika kabisa kuhusu kuitetea serikali.
Vita mbinu na mijitu humu hiko vitani, kukuwekea maneno sio shida kwao.