GE2025 Samia: Mabalozi hakikisheni Wananchi wenu wote walioandikishwa wanapiga Kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kituko cha mwaka kutoka kusema kura ni haki ya mtu hadi kuhimiza mabalozi wasombe watu wakapige kura?

Au siku hiyo magari wanayosomba kwenye mikutano yatakua matengenezo ?

..ilani hazishawishi.

..wagombea hawavutii.
 
😂 Ila huyu mama kwa kuchapia 🙌

Anyway, kuna watu walikuwa wanamuulizia mbona haonekani au ameishiwa pumzi, nadhani wameshamuona
 
Huyu Mama kachanganyikiwa. Siku hizi kupiga kura ni kulazimishwa sio?

Kupiga kura ni uamuzi wa mtu binafsi au balozi?

Ngoja tumuonyeshe hiyo tarehe 29 Oktoba.
 
Kwani lazima?
Mkuu hata km itakua lzm KURA hazititosha nikupe mfn
Kuna Kata X Kura za wajumbe wote ni 562 ( hao ni wajumbe wote wanamchagua Diwani ktk Kata , means wakipiga wote watakua na KURA hizo tu za kwao,,km Kata ina Wakazi elf kadhaa huyo Diwani atakubalika?

Kuna jimbo wapiga KURA wote ni elf 8 Kata 10, Wakazi laki nane huyu mbunge atakubalika?
 
Ni ukweli wengi hatuwakubali
 
Ni huzuni
 
mgombea ubunge wa kiti cha uraisi?
 
Balozi wa mtaani kwetu anasisitiza watu wasipige kura yeye mwenyewe hamtaki Samia, anasema bora kuandamana kufa kuliko kuchagua huyo mwanamke katili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…