GE2025 Samia: Mkituchagua kila mtu Tanzania atakuwa na umeme

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
"Vijiji vyote vya Wilaya hii 101 vina umeme na tunaendelea na kazi ya kuunganisha Vitongoji. Mbele tunakokwenda mkitupa ridhaa tunakwenda kumaliza kazi yote Tanzania nzima kila mtu awe na umeme…kwa upande wa elimu, mbali na yaliyofanyika tutaendelea na sera yetu ya elimu bila malipo pamoja na kuendelea kuongeza miundombinu ya madarasa ya shule za msingi na sekondari hapa Ikungi lakini zaidi ya hapo tumejipanga kujenga chuo cha ufundi ndani ya wilaya hii”, -Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) akizungumza na wananchi wa Ikungi Mkoani Singida leo Jumanne Septemba 09, 2025

Uongo ,Uongo ,huo ni uongo bwana.
 
Na isipokuwa hivyo tumfanye nini akimaliza muda wake?maana ahadi za TANU zimekuwa nyingi enzi na enzi mpaka kero sasa
 
Mbona hakuna jipya hapo! Tangu enzi REA inaanzishwa lengo lake kuu lilikuwa ni hilo.
 
Back
Top Bottom