Samia moja ya ubora wake ni kuongea ukweli kuhusu uwezo wake. Hapendi majivuno anakubali hali na sifa zake hata kama nyingine ni dhaifu

Tupe Hoja Mkuu
Leo huna hoja. Upingwe na kila mwenye akili timamu. Kujibizana na mtu asiye na hoja ni kupoteza.

Unachopaswa kujua hata angejificha namna gani wapo waliosoma nae wangemuanika peupeee hivyo kujiweka wazi vile kuna mfanya mtu ambae angetaja madhaifu yake kuona haina maana kama muhusika anajisema mwenyewe
 

😃😃😃
Kwa hiyo Leo huoni hoja Yangu?
 

Alikiri kuua WaTanganyika?
 
Ama
Marking scheme
Part one introduction
1: introduction 10 marks
Results 10/10
2: Part two main body 80 marks
Results 0/80
3: Part three conclusion, 10 marks
Results 0/10
Wasome wenzangu mtanirate maana so kila moja anajitambua🙏🏾
 
Nasisitiza na narudia hapa Samia ndio Rais wangu Bora zaidi kuwaho tokea.

Hakuna namba ambayo hajaipita Wala kuacha alama kubwa sekta zote hapa Tanzania

Pili kuhusu aina ya watu,binafsi napendelea viongozi dizaini ya Samia badala ya hao kina Magu,Lisu ,huyo ropo ropo wa USA na wengine wa hivyo.

Hao wanaweza Wana chance kubwa ya Kuharibu kuliko kujenga ndio maana Leo hii umesikia CAG alisema bwawa la Nyerere limeleta hasara a Zaidi ya Trilioni 1 Kwa sababu za ukurupukaji wa kina Magufuli.

Magu hajasababisha hasara hiyo tuu hata pale jangwani kweymafuriko yeye Kwa ego yake alilazisha ujenzi wa karakana ya mabasi ya mwendokasi,Bado makesi kibao ya Nchi kushitakiwa,Mara samaki mara nini.

Maviongozi mapenda sifa Huwa ni ya hovyo.

Magu ndio alileta machawazakaharibu mfumo wa utumishi wa Umma na kujenga watu tegemezi,aliharibu biashara nk nk.

Much know hawafagi hata kidogo,Samia anafanikiwa ni Kwa sababu ametoa nafasi Kwa watu kuonesha vipawa vyao.

Udhaifu wake unaoneka ni kwa sababu hatuna mfumo unafanya kazi bila kutegemea mtu wa mwisho.

Yaani mtu(mjinga) anaona ni sahihi PM au Rais kuzunguka kutatua kesi za ndio na migogoro ya Ardhi il haoni kwamba Kwa nini Ngazi zote Kuna viongozi lakini hiyo migogoro ipo.

Watu wajinga hapo ndio wanatafsiri Kiongozi shupavu na watu Hawa wanajua utaratibu huo kwamba ulianziahwa na Magu lakini nawakumbusha tuu utaratibu huo ulianzishwa na Lowasa akiwa PM.
 

Upo sahihi Sana kwa watu aina ya Samia.
Lakini umewakandia Sana watu ain ya jpm, Trump n.k. kana kwamba hawana mazuri yao.

Watu aina ya Samia hupendelea maendeleo ya watu sio ajabu kuona Kila mwaka vijana wanaajiriwa kwa mamia na maelfu. Pesa zinamwagwa mifuko mwa watu.
Mishahara na posho zinakuwepo.

Watu Aina ya JPM hupendelea maendeleo ya vitu kama miundombinu huku wakiwekeza nguvu kidunchu kwenye maendeleo ya watu.
Sio ajabu Wakati wa JPM watu kuajiriwa ilikuwa kipengele kigumu, posho hakuna, ongezeko la mishahara na madaraja halikuwepo.
Faida ya mfumo wa JPM wataona watu wote hasahasa wasio kwenye mfumo wa serikali(ajira) na mifumo ya kisekta.

Faida ya mfumo wa Samia waliopo kwenye mfumo wa serikali(ajira) lazima waone Raha kwani wananufaika, na wale wakisekta. Lakini wananchi wakawaida wasio kwenye mifumo lazima walalamike
 
Ama

Marking scheme
Part one introduction
1: introduction 10 marks
Results 10/10
2: Part two main body 80 marks
Results 0/80
3: Part three conclusion, 10 marks
Results 0/10
Wasome wenzangu mtanirate maana so kila moja anajitambua🙏🏾

Jumla ni 10%. So nimepiga mswakI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…