Samia mrudishe Khery James kwenye Chama, atakusaidia kipindi hiki

TheMaster

Member
Joined
Aug 10, 2023
Posts
63
Reaction score
136
Moja ya kitu ambacho kinahitajika kwenye kufanikiwa kwa kila taasisi ni kumuweka mtu anapostahiki, kumpa mtu sifa anayostahiki lakini kumpa majukumu mtu anayostahiki zaidi eneo alilobora zaidi.

Tumekuwa na tabia ya kumpa mtu nafasi kulingana na ukaribu wetu na sio ubora wake kwenye jukumu husika.

KHERY JAMES mkuu wa mkoa ya Iringa na aliyewahi kuwa mwenyekiti UVCCM taifa ni moja ya turufu inayochezewa bila ya kuitumia ipasavyo kwenye chama..

KHERY JAMES ni kijana mwenye kila sifa ya kuwa moja ya wanasiasa bora sana tuliokuwa nao kwasasa.

Ni kijana mwenye public speaking smart kuliko vijana wote kwenye chama, anajua nini aseme kwa sababu gani. anajua aseme nini mbele ya nani? aseme kipi wakati gani?

kijana mwaminifu asiye na tamaa ya madaraka makubwa, mvumilivu na mstahimilivu, lakini kubwa zaidi hana tabia za kifisadi. anaridhika na anachopata na ni muoga wa kula haramu.

Samia tumia Turufu hii usiiache ikizagaa, na muda sahihi zaidi wa kumtumia ni huu wa mwaka wa kisiasa.

Nashauri muweke kitengo cha uenezi na mafunzo ya siasa kwenye chama, Mh. Makala ni mzuri lakini umri wake sio sahihi sana kwa sababu asilimia kubwa ya wanaotazama siasa actively kwa sasa ni vijana rika la miaka 25-55.

Nakutakia kila la heri.
 
Makonda aliwekwa ili kuwadhibiti wajumbe kama wale wakina kibajaji. Mama aliingia na jina moja tu kwenye kipochi chake.
NAJUA KILICHOMKUTA BASHITE???
 
Uko sawa. Kwenye hii nchi imefikia kila mtu anagombania mjombaake akae kwenye nafasi.
Utachukua muda sana kunishawishi nikuelewe kwenye hilo dude kuna mwenye mvi kichwani. Ukiingia tu kwenye hilo dude mvi zinapotea kichwani
 
Back
Top Bottom