Samia: Msiruhusu Wageni Kufanya Biashara za Wenyeji

Kumshunuru na kumpongeza Rais ndio kunafanya hao watendaji wasitimize wajibu wao Hadi wasubirie viongozi Wakuu wa Kitaifa waseme?
 
Yeye Rais ndiyo ametengeneza mfumo wa hovyo wa kuona kila kinachofanyika kinafanywa na Rais, taifa star ikishinda mechi atasifiwa Rais, choo cha shule atasifiwa Rais so watu wanaona kumbe mambo yote ni Rais hawatendaji wengine hawana majawabu.
Inahusikaje Sasa na incompetence ya watendaji Kushindwa kutimiza wajibu wao?
 
Inahusikaje Sasa na incompetence ya watendaji Kushindwa kutimiza wajibu wao?
Tanzania watu wanafuata maono ya Rais na siyo dira ya Taifa, kila kinachofanyika ni kwa hisani ya Rais na siyo kwa mujibu wa katiba na sheria, utapata wapi watu competent? watu hutengenezwa kwa mifumo imara wajiamini, upatikanaji wao ukoje?
 
Rais hatekelezi Nje ya dira ya Taifa ukiacha wale wajinga wachache ila Kwa Sasa dira inayokuja itafungwa kisheria kabisa kuzuia maamuzi dizaini ya kina Jiwe na hao mbumbumbu wengine unaowataja.
 
Rais hatekelezi Nje ya dira ya Taifa ukiacha wale wajinga wachache ila Kwa Sasa dira inayokuja itafungwa kisheria kabisa kuzuia maamuzi dizaini ya kina Jiwe na hao mbumbumbu wengine unaowataja.
Royal tour na annuani za makazi zipo kwenye dira ya taifa? nionyeshe ni ukurasa wa ngapi?
 
Mbona wanasambaza bidhaa kwenye maduka nchi nzima wanapita kwenye maduka wakiona duka lako limechangamka wanakupa mzigo wa kutosha, faida Kwa hili wanakuongezea mtaji lakini hasara ukishindwa kulipa rejesho kwa muda mliokubaliana wanachukua bidhaa zao pia wewe unalipia gharama zote za uendeshaji na kodi
 
Sasa yeye kama hataki si aseme ni marufuku na atoe amri hizo leseni walizopewa wanyang'anywe! Badala yake eti anawaomba watendaji wasiwape leseni sasa wakikataa je! Hata kama uungwana na ustaarabu na kukataa kufokea watu lakini kuna mambo mengine anatengeneza mazingira mwenyewe ya kuchezewa.
 
Si alitamba anafungua nchi na wanasiasa uchwara wakamsifia .imekuwaje tena? Uongozi usio na maono lazima utumbukie tu shimoni
 
Kwenye hili namuunga mkono mhe rais, ni kilio cha muda mrefu. Wapo wachina wanacho hadi mahindi. Hizi biashara ndogo zibaki za wazawa tu, hawa wengine either wakubaoi kuwa wawekezaji wakubwa else wasipewe vibali kabisa
 
Kuna watu hawajui majukumu yao mpaka Rais aseme
Mkuu wa uhamiaji yupo kwani hajui hawa wachina wanauza mandazi sio haki yao kufanya hivyo?
Wanawapa permit ipi ya kuuza maua?

Rais sio wa kuongea bali kuwawajibisha wanaowaweka hapo
 
Si alitamba anafungua nchi na wanasiasa uchwara wakamsifia .imekuwaje tena? Uongozi usio na maono lazima utumbukie tu shimoni
Kufungua nchi kuna regulations, kufungua nchi haimaanishi kila mgeni aje afanye anavyotaka hapana. Wateule wake huku ndio hawaelewi au wanajisahau kwenye hili
 
Sasa analalamika nini wakati alipoingia ni yeye ndiye Aliruhusu haya mambo kwa kuruhusu kila mgeni kuja kufanya atakavyo?

Watendaji wake wanakwenda na biti tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…