Samia nakuonya Tena mwisho wako utakuwa mbaya Sana! Katiba iko wapi?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Ulituambia ndani ya siku 100 utaanzisha mchakato wa katiba mpya, leo ni siku zaidi ya 150

Tuliona ukazuga na Warioba na kupiga picha ili akusafishe,

Nakuonya kwa Mara ya mwisho ili la katiba nipo serious kidogo ukipuuza utakuwa na mwisho mbaya Sana.

Watu wanataka katiba Tena Ile ya rasimu ya Warioba

Jisafishe uwezavyo lakini nikwambie harufu haiwezi kuisha
 
Muda wa kulalamika kimsingi bado,

Awali ahadi ya siku 100 ilikua kabla ya okt 29, baada ya vurugu kauli iliyotoka mpaka tume iwasilishe ripoti + maridhiano ndo mchakato wa katiba uanze.

Kwahiyo hapa ni vitu viwili 1. kuvuta subira blah blah za tume + maridhiano zikamilike ndo katiba tuisikilizie 2. au lah tuwalaumu waandamanaji + wahamasishaji , maana ingeeleweka mpaka sasa kama kusingekua na maandamano kama mchakato ungekua umeshaanza au lah
 
Only if she cares
 
Uliamini waliahidi katiba mpya wakiwa wanamaanisha hadi useme waandamanaji ndio wamevuruga? Samia alipoingia baada ya kifo cha Magufuli alikuja na 4r, na hizo aliziweka kwa hadaa ya kuleta katiba mpya kabla ya 2025. Muda ulivyosogea akaanza kucheza na maneno, mara inabidi itolewe elimu kwanza ya katiba! Inshort mkuu acha kutetea wahuni kwa nadharia zisizo sahihi.
 
kwenye niliyoyaandika, maelezo mbona yapo sahihi, samia alikua anataka nini zaidi ya kupiga second term tu kama wengine?

watu kabla ya uchaguzi walikua wanasema kwanini tunaingia kwenye uchaguzi tukiwa tumegawanyika,,, kauli hiyo hiyo si ndo imetolewa baada ya vurugu za uchaguzi kwamba hatuwezi unda katiba tukiwa bado hatuna maridhiano?

mimi napinga malalamiko yasiokua na maana,
tume imeundwa ilipewa siku 90 nadhani - watu wakapiga makelele uchaguzi uliwezekanaje kukamilika mapema , siku 90 zimefika ukingo zimeongezwa 42 watu walewale walopiga makelele siku 90 chache ndo hao hao wanalalamika jamaa wanasogeza mbele kuficha ushahidi

tuje kwenye kwenye katiba huyo samia hata kama hamumtaki hivi si ni akili ya kawaida tu hapo , maana ingekua maajabu tukafanya mchakato wa katiba bila ya kutafuta suluhisho la okt 29 - potelea mbali hata kama iwe geresha
 
Uliwahi kumuamini kwenye lipi? Kwenye kipi? 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…