Samia nakuonya Tena mwisho wako utakuwa mbaya Sana! Katiba iko wapi?

Samia nakuonya Tena mwisho wako utakuwa mbaya Sana! Katiba iko wapi?

kwenye niliyoyaandika, maelezo mbona yapo sahihi, samia alikua anataka nini zaidi ya kupiga second term tu kama wengine?

watu kabla ya uchaguzi walikua wanasema kwanini tunaingia kwenye uchaguzi tukiwa tumegawanyika,,, kauli hiyo hiyo si ndo imetolewa baada ya vurugu za uchaguzi kwamba hatuwezi unda katiba tukiwa bado hatuna maridhiano?

mimi napinga malalamiko yasiokua na maana,
tume imeundwa ilipewa siku 90 nadhani - watu wakapiga makelele uchaguzi uliwezekanaje kukamilika mapema , siku 90 zimefika ukingo zimeongezwa 42 watu walewale walopiga makelele siku 90 chache ndo hao hao wanalalamika jamaa wanasogeza mbele kuficha ushahidi

tuje kwenye kwenye katiba huyo samia hata kama hamumtaki hivi si ni akili ya kawaida tu hapo , maana ingekua maajabu tukafanya mchakato wa katiba bila ya kutafuta suluhisho la okt 29 - potelea mbali hata kama iwe geresha
Sielewi hata umeongea nini boss!
 
Sielewi hata umeongea nini boss!
nakwambia siku 100 haiwezekani tena kuzipima kwenye katiba , mchakato umesogezwa mbele mpaka tume + maridhiano , kwahiyo hatuwezi lalamika muda huu, kama ni lawama za siku 100 ziende kwa waandamanaji --- hiki ndo nilisema mwanzo
 
nakwambia siku 100 haiwezekani tena kuzipima kwenye katiba , mchakato umesogezwa mbele mpaka tume + maridhiano , kwahiyo hatuwezi lalamika muda huu, kama ni lawama za siku 100 ziende kwa waandamanaji --- hiki ndo nilisema mwanzo
Nikakuuliza unaamini hizo siku 100 walimaanisha, ila maandamano tu ndio yamekwamisha?
 
Kwa ule "uchaguzi" wa maigizo ndio Samia na wenzake waridhie mchakato wa Katiba mpya kwa maslahi ya wengi! No way

Kama walivyofanya kwa kuongeza neno "HURU" kwenye tume ya uchaguzi huku wakiacha mashimo mengi ndivyo watakavyofanya kwa Katiba.
 
Nikakuuliza unaamini hizo siku 100 walimaanisha, ila maandamano tu ndio yamekwamisha?
mimi kuziamini siku 100 si kitu cha maana yeyote, siku 100 zingetimia ndo tungethibitisha kama walimaanisha au lah ---
 
mimi kuziamini siku 100 si kitu cha maana yeyote, siku 100 zingetimia ndo tungethibitisha kama walimaanisha au lah ---
Kama miaka minne aliyoingia baada ya kifo cha Magufuli alishindwa na hakukuwa na maandamano, kipi kinakufanya uamini siku 100 mchakato ungeanza?
 
Heshima kitu cha bure!. Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe
Japo una hoja ya msingi sana, huna sababu ya kutumia lugha chafu ya maudhi na maneno ya chooni!.
p.
Wewe mzee umegeuka neutralizer wa hoja zinazokinzana na viongoz wako wa ccm hata kule jambo online tv ulikuwa na huo ujinga wako by the way nakutaarifu kuwa huyo mama yenu na ccm yake hawana uwezo wa kuitisha mkutano hata pale mwigumbi kishapu wakapata watu ishirini ikiwa hawatasomba kwenye malori na kusababisha Vifo kama walivyouwa watu kule Kijiji Cha ng'hwajisandu meatu.
 
Kama miaka minne aliyoingia baada ya kifo cha Magufuli alishindwa na hakukuwa na maandamano, kipi kinakufanya uamini siku 100 mchakato ungeanza?
utawala wake wa ile miaka mi-4 ulikua na migongano mikubwa sana, muhula huu ndo wakumpima
 
Ulituambia ndani ya siku 100 utaanzisha mchakato wa katiba mpya.

Tena baada ya kuiba uchaguzisasa ni siku zaidi ya 150

Tuliona ukazuga na warioba na kupiga picha ili akusafishe,

Nakuonya kwa Mara ya mwisho ili la katiba nipo serious kidogo ukipuuza utakuwa na mwisho mbaya Sana.

Watu wanataka katiba Tena Ile ya rasimu ya Warioba

Endeleeni kujitoa ufahamu soon kitawalamba na Wanamtandao wenzako.

Jisafishe uwezavyo lakini nikwambie harufu hawezi kuisha
Mafanikio aliyopata ndani ya siku 100 ni kumteua Angela Kizigha kuingia bungeni ili ampe uwaziri wa fedha waendelee kuvuna pesa kadri watakavyo. Hii nchi, chini ya uongozi wa Samuya, ina mambo ya kiquma sana.
 
Hana jipya zaidi ya aliyoonyesha hadi sasa.
kutokua na jipya ni kweli.
ila kwenye vichache vya kuambulia muhula huu ni katiba --- itakua ya kiwango gani hilo ni jambo lingine, ila kwa hakika lazima kugawana vipande : chukua hiki , hiki hapana
 
Suala la Katiba Mpya limepigiwa kelele sana. Tatizo limekuwa ni chama tawala kwa kulichukulia kama ni hisani toka kwao.

Tukiendelea kutegemea utashi wa kiongozi aliye madarakani ili kupata Katiba Mpya tumekwisha. Hata akiwa na utashi huo hawezi kulikamilisha kwani atakumbuna na vikwazo vingi ndani ya chama chake. Kumbuka kuwa CCM ina wenyewe. Ndio wanaoamua nani awe nani kwa manufaa yao. Yaani " tunakupa Urais na kisha kukukabidhi chama." Ukimaliza muda wako, tuletee Rais mpya na chama chetu kwa gharama yeyote ile kwani wewe ndiye amiri jeshi mkuu."

Kwa maana hiyo unafikiri ni kiongozi yupi atakaekubali suala la Katiba Mpya ambapo itakuja kuwa kitanzi kwa chama chao chakavu? Hivyo basi ni vigumu sana kupata Katiba Mpya mezani kwa njia ya mazungumzo kati ya viongozi wa kisiasa na wadau wengine.

Tutapata Katiba Mpya tu pale ambapo elimu ya uraia itapenye kwa raia walio wengi. Kisha wakachukua maamuzi magumu.
 
Kuna mtu hapo juu kasema samia aheshimiwe, na nyie nyie ndio mnalia cjui maji yamekata mwez mzima kwenu mara umeme umekata cjui viuno wiki ya pili. Wabongo sisi ni sawa na ngiri na tutabaki hivo na tutafika tumechoka. Mda mwingne mim binafsi ukisema heshma cjui kwa nan na mtu hata hakujui nakuona kama ubongo wako upo na virus. (Sasa ntukane uone) kuna clip moja toka huko kwa kasongo mtu alipambana na maafande ati kisa watu hawana mita na wanatumia maji. Jamaa alipambana nao na hawakuingia kwake kukata hayo maji, alichowaambia wahusika ni kwamba leta mita mje kufunga ntawaruhusu muingie kwangu. Wabongo tunachokijua ni kiswahili tu. Serikali bila kukosolewa unadhan itafanya kazi. Mda mwingine msiwe mnatetea ujinga. Ngoja nimalize konyagi yangu na chapati mbili narudi.
 
Wabongo banah
Enzi ya mwamsoga pesa zimetumika kibao maoni yamekusanywa na kuitwa rasimu siku ya kupitisha ikapigwa chini
Na hakuna watu walichofanya sembuse huyu ambae hata maoni tu hayajaanza kukusanywa ndo UFANYE nini?
 
Back
Top Bottom