Samia nakuonya Tena mwisho wako utakuwa mbaya Sana! Katiba iko wapi?

Samia nakuonya Tena mwisho wako utakuwa mbaya Sana! Katiba iko wapi?

Ulituambia ndani ya siku 100 utaanzisha mchakato wa katiba mpya.

Tena baada ya kuiba uchaguzisasa ni siku zaidi ya 150

Tuliona ukazuga na warioba na kupiga picha ili akusafishe,

Nakuonya kwa Mara ya mwisho ili la katiba nipo serious kidogo ukipuuza utakuwa na mwisho mbaya Sana.

Watu wanataka katiba Tena Ile ya rasimu ya Warioba

Endeleeni kujitoa ufahamu soon kitawalamba na Wanamtandao wenzako.

Jisafishe uwezavyo lakini nikwambie harufu hawezi kuisha
Dah! Huu uhuru wa kujieleza bwana....
 
Samia anakwambia KATIBA ni kijitabu tu - maza ana dharau huyu.
 
Wewe mjinga sanaa,Raisi ni taasisi na Raisi hatishiwi toka miaka na miaka,
Trump kila siku analaaniwa lakini ndo kwanza anazidi kunawiri.
Nakushauri mkuu tafuta kazi ya kufanya achana na Raisi..
 
Back
Top Bottom