Sielewi hata umeongea nini boss!kwenye niliyoyaandika, maelezo mbona yapo sahihi, samia alikua anataka nini zaidi ya kupiga second term tu kama wengine?
watu kabla ya uchaguzi walikua wanasema kwanini tunaingia kwenye uchaguzi tukiwa tumegawanyika,,, kauli hiyo hiyo si ndo imetolewa baada ya vurugu za uchaguzi kwamba hatuwezi unda katiba tukiwa bado hatuna maridhiano?
mimi napinga malalamiko yasiokua na maana,
tume imeundwa ilipewa siku 90 nadhani - watu wakapiga makelele uchaguzi uliwezekanaje kukamilika mapema , siku 90 zimefika ukingo zimeongezwa 42 watu walewale walopiga makelele siku 90 chache ndo hao hao wanalalamika jamaa wanasogeza mbele kuficha ushahidi
tuje kwenye kwenye katiba huyo samia hata kama hamumtaki hivi si ni akili ya kawaida tu hapo , maana ingekua maajabu tukafanya mchakato wa katiba bila ya kutafuta suluhisho la okt 29 - potelea mbali hata kama iwe geresha
Tuache kujidanganya.. angekuwa wa kuleta, angeshaleta.Naunga mkono hoja, RaisvSamia anakwenda kuleta katiba mpya ya Samia.
P
- Asante Rais Samia hotuba mwaka mpya, kubwa kuliko yote ni la kuanza kwa mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100, itawezekana?
- PreGE2025 - Japo Katiba ni 'Kakitabu Tu', Kwenye Nchi, Katiba Ndio Kila Kitu, Bila Mabadiliko Madogo ya Katiba Uchaguzi Mkuu Utakuwa ni Null & Void Ab Initio?
- Waungwana Wakiahidi, Wanatekeleza!, Rais Samia Aliahidi Kuanza Mchakato wa Katiba Mpya, Ndani ya Siku 100 za Kwanza, Je Atatekeleza?
- Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au?
nakwambia siku 100 haiwezekani tena kuzipima kwenye katiba , mchakato umesogezwa mbele mpaka tume + maridhiano , kwahiyo hatuwezi lalamika muda huu, kama ni lawama za siku 100 ziende kwa waandamanaji --- hiki ndo nilisema mwanzoSielewi hata umeongea nini boss!
Nikakuuliza unaamini hizo siku 100 walimaanisha, ila maandamano tu ndio yamekwamisha?nakwambia siku 100 haiwezekani tena kuzipima kwenye katiba , mchakato umesogezwa mbele mpaka tume + maridhiano , kwahiyo hatuwezi lalamika muda huu, kama ni lawama za siku 100 ziende kwa waandamanaji --- hiki ndo nilisema mwanzo
mimi kuziamini siku 100 si kitu cha maana yeyote, siku 100 zingetimia ndo tungethibitisha kama walimaanisha au lah ---Nikakuuliza unaamini hizo siku 100 walimaanisha, ila maandamano tu ndio yamekwamisha?
Kama miaka minne aliyoingia baada ya kifo cha Magufuli alishindwa na hakukuwa na maandamano, kipi kinakufanya uamini siku 100 mchakato ungeanza?mimi kuziamini siku 100 si kitu cha maana yeyote, siku 100 zingetimia ndo tungethibitisha kama walimaanisha au lah ---
Wewe mzee umegeuka neutralizer wa hoja zinazokinzana na viongoz wako wa ccm hata kule jambo online tv ulikuwa na huo ujinga wako by the way nakutaarifu kuwa huyo mama yenu na ccm yake hawana uwezo wa kuitisha mkutano hata pale mwigumbi kishapu wakapata watu ishirini ikiwa hawatasomba kwenye malori na kusababisha Vifo kama walivyouwa watu kule Kijiji Cha ng'hwajisandu meatu.Heshima kitu cha bure!. Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe
Japo una hoja ya msingi sana, huna sababu ya kutumia lugha chafu ya maudhi na maneno ya chooni!.
p.
utawala wake wa ile miaka mi-4 ulikua na migongano mikubwa sana, muhula huu ndo wakumpimaKama miaka minne aliyoingia baada ya kifo cha Magufuli alishindwa na hakukuwa na maandamano, kipi kinakufanya uamini siku 100 mchakato ungeanza?
Hana jipya zaidi ya aliyoonyesha hadi sasa.utawala wake wa ile miaka mi-4 ulikua na migongano mikubwa sana, muhula huu ndo wakumpima
Mafanikio aliyopata ndani ya siku 100 ni kumteua Angela Kizigha kuingia bungeni ili ampe uwaziri wa fedha waendelee kuvuna pesa kadri watakavyo. Hii nchi, chini ya uongozi wa Samuya, ina mambo ya kiquma sana.Ulituambia ndani ya siku 100 utaanzisha mchakato wa katiba mpya.
Tena baada ya kuiba uchaguzisasa ni siku zaidi ya 150
Tuliona ukazuga na warioba na kupiga picha ili akusafishe,
Nakuonya kwa Mara ya mwisho ili la katiba nipo serious kidogo ukipuuza utakuwa na mwisho mbaya Sana.
Watu wanataka katiba Tena Ile ya rasimu ya Warioba
Endeleeni kujitoa ufahamu soon kitawalamba na Wanamtandao wenzako.
Jisafishe uwezavyo lakini nikwambie harufu hawezi kuisha
kutokua na jipya ni kweli.Hana jipya zaidi ya aliyoonyesha hadi sasa.