Kupatikana kwa katiba mpya ni heshima zaidi ya unayoikumbuha.Heshima kitu cha bure!. Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe
Japo una hoja ya msingi sana, huna sababu ya kutumia lugha chafu ya maudhi na maneno ya chooni!.
p.
Dah! Huu uhuru wa kujieleza bwana....Ulituambia ndani ya siku 100 utaanzisha mchakato wa katiba mpya.
Tena baada ya kuiba uchaguzisasa ni siku zaidi ya 150
Tuliona ukazuga na warioba na kupiga picha ili akusafishe,
Nakuonya kwa Mara ya mwisho ili la katiba nipo serious kidogo ukipuuza utakuwa na mwisho mbaya Sana.
Watu wanataka katiba Tena Ile ya rasimu ya Warioba
Endeleeni kujitoa ufahamu soon kitawalamba na Wanamtandao wenzako.
Jisafishe uwezavyo lakini nikwambie harufu hawezi kuisha
Kwa hiyo wataishi ki ujanja ujanja hadi lini?Unategemea CCM watengeneze kitanzi chao wenyewe?
wanajua hawatafanya chochote ikiwa Lisu ypo ndani. "Kigugumizi kinaburudhana na muda"sitegemei kama litatokea ivi kalibuni