Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Sijui hawamwambii kwamba umati huo huwa unakusanywa toka maeneo mbalimbali vijijini na kuletwa uwanjani, wanakesha hapo kwa kupikiwa ubwabwa na kupewa hela wakimsubiri yeye. Huko anakokwenda kuhutubia wenzie hawalali kwa ajili ya artificial nyomi.Bi mkubwa amewambia wanaCCM kama wanavyojaza kwenye kampeni basi wakajaze hadi kwenye masanduku ya kura.
Ila kuna waTanzania nao watatoka kwaajili ya maandamano
=====================
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kama ambavyo wananchi wanajitokeza kwa wingi kujaza mikutano yake ya kampeni, vivyo hivyo wajitokeze kupiga kura Oktoba 29, 2025.
Msisitizo huo wa Dkt Samia, unakuja zikiwa zimesalia siku 11, kabla ya Watanzania kupiga kura za kumchagua Rais, wabunge na madiwani.
Dkt Samia ameyasema hayo leo, Jumamosi Oktoba 18, 2025 alipozungumza na wananchi wa Kibaoni, mkoani Katavi katika mkutano wake wa kampeni za urais, uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi.
“Naomba sana Oktoba 29, asilale mtu, kila aliyeandikishwa aende kupiga kura,” amesema.
View attachment 3490418
Siwezi poteza muda.Bi mkubwa amewambia wanaCCM kama wanavyojaza kwenye kampeni basi wakajaze hadi kwenye masanduku ya kura.
Ila kuna waTanzania nao watatoka kwaajili ya maandamano
=====================
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kama ambavyo wananchi wanajitokeza kwa wingi kujaza mikutano yake ya kampeni, vivyo hivyo wajitokeze kupiga kura Oktoba 29, 2025.
Msisitizo huo wa Dkt Samia, unakuja zikiwa zimesalia siku 11, kabla ya Watanzania kupiga kura za kumchagua Rais, wabunge na madiwani.
Dkt Samia ameyasema hayo leo, Jumamosi Oktoba 18, 2025 alipozungumza na wananchi wa Kibaoni, mkoani Katavi katika mkutano wake wa kampeni za urais, uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi.
“Naomba sana Oktoba 29, asilale mtu, kila aliyeandikishwa aende kupiga kura,” amesema.
View attachment 3490418
Safi kama hupigi. Kaa nyumbani subiri wanaume tukuchagulie viongozi...ili uje uanze kulalamika mitandaoniWanaopiga wapige ila mimi sipigi kura.
2020 tulipiga kura zikaporwa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 uchaguzi ukaporwa sasa huu ni uchafuzi mwingineSafi kama hupigi. Kaa nyumbani subiri wanaume tukuchagulie viongozi...ili uje uanze kulalamika mitandaoni
Wewe na huyo Malaya mwenzako samia mnafirimbw@ MAKALIOBi mkubwa amewambia wanaCCM kama wanavyojaza kwenye kampeni basi wakajaze hadi kwenye masanduku ya kura.
Ila kuna waTanzania nao watatoka kwaajili ya maandamano
=====================
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kama ambavyo wananchi wanajitokeza kwa wingi kujaza mikutano yake ya kampeni, vivyo hivyo wajitokeze kupiga kura Oktoba 29, 2025.
Msisitizo huo wa Dkt Samia, unakuja zikiwa zimesalia siku 11, kabla ya Watanzania kupiga kura za kumchagua Rais, wabunge na madiwani.
Dkt Samia ameyasema hayo leo, Jumamosi Oktoba 18, 2025 alipozungumza na wananchi wa Kibaoni, mkoani Katavi katika mkutano wake wa kampeni za urais, uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi.
“Naomba sana Oktoba 29, asilale mtu, kila aliyeandikishwa aende kupiga kura,” amesema.
View attachment 3490418
Tunaandamana vituoni tuone polisi watafanyajeBi mkubwa amewambia wanaCCM kama wanavyojaza kwenye kampeni basi wakajaze hadi kwenye masanduku ya kura.
Ila kuna waTanzania nao watatoka kwaajili ya maandamano
=====================
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kama ambavyo wananchi wanajitokeza kwa wingi kujaza mikutano yake ya kampeni, vivyo hivyo wajitokeze kupiga kura Oktoba 29, 2025.
Msisitizo huo wa Dkt Samia, unakuja zikiwa zimesalia siku 11, kabla ya Watanzania kupiga kura za kumchagua Rais, wabunge na madiwani.
Dkt Samia ameyasema hayo leo, Jumamosi Oktoba 18, 2025 alipozungumza na wananchi wa Kibaoni, mkoani Katavi katika mkutano wake wa kampeni za urais, uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi.
“Naomba sana Oktoba 29, asilale mtu, kila aliyeandikishwa aende kupiga kura,” amesema.
View attachment 3490418
Cha muhimu ni kujua kidole gani kinatumiwa, wino hata nyumbani unajipaka...Kama nawaona wafanyakazi wa serikalini wakikaguliwa wino makazini kuhakikisha walipiga kura
Kampeni zimegeuka kuhimiza watu wakapige kura...Bi mkubwa amewambia wanaCCM kama wanavyojaza kwenye kampeni basi wakajaze hadi kwenye masanduku ya kura.
Ila kuna waTanzania nao watatoka kwaajili ya maandamano
=====================
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kama ambavyo wananchi wanajitokeza kwa wingi kujaza mikutano yake ya kampeni, vivyo hivyo wajitokeze kupiga kura Oktoba 29, 2025.
Msisitizo huo wa Dkt Samia, unakuja zikiwa zimesalia siku 11, kabla ya Watanzania kupiga kura za kumchagua Rais, wabunge na madiwani.
Dkt Samia ameyasema hayo leo, Jumamosi Oktoba 18, 2025 alipozungumza na wananchi wa Kibaoni, mkoani Katavi katika mkutano wake wa kampeni za urais, uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi.
“Naomba sana Oktoba 29, asilale mtu, kila aliyeandikishwa aende kupiga kura,” amesema.
View attachment 3490418
Unashindana na nani wewe mama????? Tukapige kura? Hivi wewe mama hizo bangi huchoki kuvuta?Bi mkubwa amewambia wanaCCM kama wanavyojaza kwenye kampeni basi wakajaze hadi kwenye masanduku ya kura.