Samia: Neno “Demokrasi” lisituchafulie nchi zetu, mila na desturi zetu

Samia: Neno “Demokrasi” lisituchafulie nchi zetu, mila na desturi zetu

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza katika Kongamano la biashara baina ya Tanzania na Kenya, JNICC, Dar es salaam amesema Neno Demokrasi lisichafue nchi zetu, wala mila na desturi zetu

KWA HIYO LITESE WENGINE
LIUE WENGINE
LITUME WATU WALAWITIWE
KISA WANATAKA UHURU WAO NA HAKI ZAO
 
Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza katika Kongamano la biashara baina ya Tanzania na Kenya, JNICC, Dar es salaam amesema Neno Demokrasi lisichafue nchi zetu, wala mila na desturi zetu

Kama Democracy ya kule mbali na ya huku tofauti mbona darasani wanatufundisha democracy ya kule
Maana shuleni tulifundishwa kuandamana ni haki ya wananchi kwenye section ya Democracy ya "Citizens' participation", walitufundisha Political tolerance, transparency and accountability, free and fair elections etc. ndio democracy kamili. Anayebisha achukue kitabu cha Civics form 1 na form 2 aone kinachofundishwa kwa wanafunzi. Huyu mama nina wasiwasi alikuwa yupo darasani ila haelewi kitu
 
Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza katika Kongamano la biashara baina ya Tanzania na Kenya, JNICC, Dar es salaam amesema Neno Demokrasi lisichafue nchi zetu, wala mila na desturi zetu


Mnajidanganya huwezi kuuwa au kuzuia fikra. Mama ataacha legacy ya ukanda, undugu na udini tu hamna kitu. Rutto hawezi kukusaidia kwenye kuteka, kuiba kura wala kuuwa vijana wetu
 
The irony is:

Democracy has to do with political evolution beginning on understanding the evolution Greeks interpretation of the term.

Whereas systematic social attitude has to do with moral (these evolves over time on what is acceptable), including cultures among other things.

Kaazi kweli kweli
 
Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza katika Kongamano la biashara baina ya Tanzania na Kenya, JNICC, Dar es salaam amesema Neno Demokrasi lisichafue nchi zetu, wala mila na desturi zetu

Anazungumzia "mila na desturi" za wapi, Oman?

Huyu anajuwa mila gani za kiTanzania?

Ulaghai mwingi na uongo ndiyo mila za kiTanzania hizo?
 
Naliona tatizo kwa kiongozi wetu.Anatatafsiri madaraka kwa mfumo fulani wa kimwinyi mwinyi na si kileo.Wananchi sio watoto wako ni mabosi wako hata kama wapo uliowazidi umri na wengine wakubwa kwako.Upo hapo sio kama mama yao ni muongoza njia kwa katiba za kimagharibi hizo hizo na kama kweli tungekuwa na mifumo ya uchaguzi ya kweli wangekuwa haki ya kumweka mtu mwingine.Viongozi waafrica wanachojua ni ubabe sio kuongoza na kushindana na ulimwengu.
Huyu anachojuwa ni mila zinazotumika uarabuni, kwenye falme za kule, ndizo anazotaka ziwe mila na desturi za hapa!

Hata hana aibu kabisa kusema maneno ya kipuuzi kabisa aina hiyo.
 
Kuna watu ambao akili zao zimelala kwelikweli, kwamba hawawezi kujifunza lolote.

Huyu Samia ni mmoja wa hao.
Hadi sasa inaonyesha matukio yote hayajamfundisha chochote.

Huyu kilichobaki ni kumfundisha kwa maumivu ya moja kwa moja yanayoelekezwa kwake na walio karibu naye wanaompa kiburi.

Naona kajizatiti aweze kuwashinda Museveni na Kagame.
 
Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza katika Kongamano la biashara baina ya Tanzania na Kenya, JNICC, Dar es salaam amesema Neno Demokrasi lisichafue nchi zetu, wala mila na desturi zetu

Ikiwa kuchafuka,kuchafua mila,desturi na taifa ni kwa mikwaju na himizo la mikwaju ni kheri kuchafuka na kuchafuliwa ili tujioshe na tutakate.
 
Back
Top Bottom