Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
KWA HIYO LITESE WENGINERais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza katika Kongamano la biashara baina ya Tanzania na Kenya, JNICC, Dar es salaam amesema Neno Demokrasi lisichafue nchi zetu, wala mila na desturi zetu
Kama Democracy ya kule mbali na ya huku tofauti mbona darasani wanatufundisha democracy ya kuleRais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza katika Kongamano la biashara baina ya Tanzania na Kenya, JNICC, Dar es salaam amesema Neno Demokrasi lisichafue nchi zetu, wala mila na desturi zetu
Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza katika Kongamano la biashara baina ya Tanzania na Kenya, JNICC, Dar es salaam amesema Neno Demokrasi lisichafue nchi zetu, wala mila na desturi zetu
Anazungumzia "mila na desturi" za wapi, Oman?Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza katika Kongamano la biashara baina ya Tanzania na Kenya, JNICC, Dar es salaam amesema Neno Demokrasi lisichafue nchi zetu, wala mila na desturi zetu
Nimegundua huyu mama ni katili sana!Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza katika Kongamano la biashara baina ya Tanzania na Kenya, JNICC, Dar es salaam amesema Neno Demokrasi lisichafue nchi zetu, wala mila na desturi zetu
Huyu anachojuwa ni mila zinazotumika uarabuni, kwenye falme za kule, ndizo anazotaka ziwe mila na desturi za hapa!Naliona tatizo kwa kiongozi wetu.Anatatafsiri madaraka kwa mfumo fulani wa kimwinyi mwinyi na si kileo.Wananchi sio watoto wako ni mabosi wako hata kama wapo uliowazidi umri na wengine wakubwa kwako.Upo hapo sio kama mama yao ni muongoza njia kwa katiba za kimagharibi hizo hizo na kama kweli tungekuwa na mifumo ya uchaguzi ya kweli wangekuwa haki ya kumweka mtu mwingine.Viongozi waafrica wanachojua ni ubabe sio kuongoza na kushindana na ulimwengu.
Faki zati bi+ch! Kujiweka kwake madarakani hakukubaliki by any standard.Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza katika Kongamano la biashara baina ya Tanzania na Kenya, JNICC, Dar es salaam amesema Neno Demokrasi lisichafue nchi zetu, wala mila na desturi zetu
Ikiwa kuchafuka,kuchafua mila,desturi na taifa ni kwa mikwaju na himizo la mikwaju ni kheri kuchafuka na kuchafuliwa ili tujioshe na tutakate.Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza katika Kongamano la biashara baina ya Tanzania na Kenya, JNICC, Dar es salaam amesema Neno Demokrasi lisichafue nchi zetu, wala mila na desturi zetu