Samia: Neno “Demokrasi” lisituchafulie nchi zetu, mila na desturi zetu

Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza katika Kongamano la biashara baina ya Tanzania na Kenya, JNICC, Dar es salaam amesema Neno Demokrasi lisichafue nchi zetu, wala mila na desturi zetu

Mila na desturi yetu ni kuzulumu, na Yule aliye mzulumu hatakiwi kulalamika, mpaka alizulumu aji Badilisha
 
Angekuwa amechaguliwa kidemokrasia basi angeihubiri sana demokrasia na angehakikisha inashamili, lakini kwa sababu mikono yake imejaa damu na midomo yake imejaa damu,na anapenda kula nyama za watu haoni shida kuona vifo, mateso na kupotea kwa watu. Huyu ni sawa na jini lililokomaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…