Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!

Hivi tz anaekuwepo ni mpango wa Mungu, ?
 

Paskali umeandika makala ndefu nikitegemea kupata undani wa kichwa cha makala yako kumbe ni kumsifia Rais SSH kuhusu uhuru na haki wa wenye uchu wa madaraka!!! Je, haki na uhuru wa watawaliwa kuamua hatima ya maisha yao?

Kama mwandishi nguli, unajua kuwa kero kubwa ya wananchi ni maendeleo na wala siyo hayo yaliyonukuliwa kuwa yameandikwa na Rais SSH.

Katika mazingira ya nyakati hizi za biashara uria na uchumi tegemezi, kinachohitajika ni uongozi wenye kuthubutu na kusimamia maamuzi magumu yenye kulenga kulinda rasmali za Taifa kwa maslahi ya kizazi cha sasa na baadaye. Lakini, unajua kuwa maamuzi mengi ya Awamu ya sasa yanalenga kunufaisha wachache na wawekezaji wa nje, kwa sababu ambazo hata wewe unazijua.

YAJAYO YANAFIKIRISHA - turejee makala yako baada ya Uchaguzi Mkuu, 2025
 

Nakutabiria muda si mrefu utapimiwa kambayako nawewe.
 
Kama hili ndiyo jibu, basi hakuna ambaye hatakuwa au hakuwa mpango wa Mungu, maana everything is happening for a reason..!!
Yes! Wajuzi wa mambo wanasema " you're not a random element in the universe reacting mechanically to everything happening to you ! Instead, you're a human being ! You have been gifted with the capacity to create meaning from all of these events !! Na ni lazima kutakuwepo na positivity na negativity !!
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hata JPM nayo ilikuwa ivi ivi mpango wa Mungu baaadae mayowe yakaaanza leo tena mpango wa Mungu ikifika kesho miluzu kibao
 
Then partly alikuwa mpango wa Mungu (due to projects alizopatia)
Naunga mkono hoja na humu jf tuna watu wa type 2. The realists and the wishful thinkers. Mimi ni realist nasema tuu kile kitu cha kweli kabisa kilichopo, hivyo Nina uhakika JPM ni mpango wa Mungu kwa Tanzania.
and partly alikuwa mpango wa shetani maana kuna waliopotezwa na wengine kukutwa kwenye viroba as if mtu anajiuwa then akishakufa anaingia mwenyewe kwenye kiroba
unless kama una uhakika was ushiriki wake, then yes. And this is normal for human beings, hata Mama yetu Eva, alikatazwa na Mungu, hili 'tunda' la 'mti' wa 'katikati' lisimegwe!. Shetani akamrubuni na kumuonyesha jinsi hilo tunda linavyo megwa, akalimega tunda la Eve na Eva akamlazimisha Adam kumega, hivyo Adamu na yeye akamega tunda. Kama waliofinyagwa na Mungu mwenyewe walirubuniwa na shetani, seuze sisi wengine?!
P
 
CCM bwana akili zenu sijui huwa mnazipeleka wapi?
 
Wananchi wanahitaji nini? Ebu tujuze maana kila mwananchi unajua shida yake!
 
Wananchi wanahitaji nini? Ebu tujuze maana kila mwananchi unajua shida yake!
Aliumaliza salama au Corona ilifanya kazi yake?
 
Basi tuache kuita ita, kusema sema na kuandika andika kuwa yule/huyu au kile/hiki ni mpango wa Mungu.
Wananchi wanahitaji nini? Ebu tujuze maana kila mwananchi unajua shida yake!

Aliumaliza salama au Corona ilifanya kazi yake?
Wananchi wanahitaji nini? Ebu tujuze maana kila mwananchi unajua shida yake!.
Wananchi wanahitaji maendeleo kupitia huduma bora za kisiasa, kiuchumi na kijamii, chama pekee chenye uwezo huo, wa kufanya hayo ni kimoja tuu, the one and only CCM.
Aliumaliza salama au Corona ilifanya kazi yake?
Dini zote zinafundisha kutii mamlaka, amini causes zilizotajwa na mamlaka.
P
 
We hata akiingia lissu madarakani uatatuambie Ni chagua la Mungu lililochelewa kuingia madarakani..
 
We hata akiingia lissu madarakani uatatuambie Ni chagua la Mungu lililochelewa kuingia madarakani..
Mkuu Lumwago, Lissu ni mtu wa Mungu, uthibitisho ni zile pyu pyu. Kwanza mimi ni miongoni mwa watu waliomchagiza agombee urais Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Kisha baada ya zile pyu pyu, ni mimi nilimchagiza arejee nyumbani asiogope Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!
Hivyo Lissu pia ni mpango wa Mungu.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…