Utakufa mkuu kwa stress, amka utajikojolea.. hii ni mpaka 2030 baada ya hapo tunaleta chuma kingineJamiiForums na nyie mnakosea mnapowapa airtime wapumbavu kama hawa na huku bwana zao wamefungia JF bila sababu
Soon mtakalia chumabaada ya hapo tunaleta chuma kingine
Husika na mada tajwa hapo juu.
Tanzania imebahatika kuwa na Rais ambaye anaweza kuitetea na Kuilinda Tanzania dhidi ya manyanyaso ya mabeberu.
- ameionyesha Dunia kuwa Tanzania inaweza kusimama bila wao, huo ndo uongozi ambao Africa inahitaji kwa Sasa.
- ameyakataa mashinikizo ya kimagharibi waziwazi bila kificho, kupitia hili ameionyesha Dunia kuwa wanawake wanaweza, na Historia itamkumbuka Dr. Samia kama kiongozi hodari na makini.
- amekataa kupelekeshwa na mashinikizo ya watu/vikundi vya watu/nchi YOYOTE, hili limemiongezea heshima kubwa Duniani. Namnukuu Mh. RAIS "Tanzania haiongozwi kwa mashinikizo ya aina YOYOTE" that is leadership.
- Mh. RAIS amesimama na Maadili ya Tanzania, amesimama na amani ya Tanzania, amesimama na uchumi wa Tanzania. Hongera sana Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan.
Mwisho kabisa nipende Kumpongeza sana Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuonyesha ukakamavu na uzalendo wa hali ya juu kwa Taifa letu, kwa kuendesha uongozi kisayansi hakika Tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan.
Mungu Mubarak Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan
Mungu Ibariki Tanzania
Kazi na utu Tunasonga mbele
Kazi iendelee 🇹🇿❤️
Utakufa mkuu kwa stress, amka utajikojolea.. hii ni mpaka 2030 baada ya hapo tunaleta chuma kingine
Kuipenda CCM ndiyo uzalendo?Mm siwezi kutumia huo uchafu, wa kimagharibi mm ni mzalendo KWELIKWELI sema tu na shule nimeenda
Dr. Samia ni level za akina Putin ni very strong leader with high convincing power
Yeye anataka kuweka ukoloni wa familia yake na machawa wake kama wewe. Ni bora wakoloni wa waliopita. Kodi zetu zinaishia kwenu kututeka, kututesa, kutupoteza, kutuua.Husika na mada tajwa hapo juu.
Tanzania imebahatika kuwa na Rais ambaye anaweza kuitetea na Kuilinda Tanzania dhidi ya manyanyaso ya mabeberu.
- ameionyesha Dunia kuwa Tanzania inaweza kusimama bila wao, huo ndo uongozi ambao Africa inahitaji kwa Sasa.
- ameyakataa mashinikizo ya kimagharibi waziwazi bila kificho, kupitia hili ameionyesha Dunia kuwa wanawake wanaweza, na Historia itamkumbuka Dr. Samia kama kiongozi hodari na makini.
- amekataa kupelekeshwa na mashinikizo ya watu/vikundi vya watu/nchi YOYOTE, hili limemiongezea heshima kubwa Duniani. Namnukuu Mh. RAIS "Tanzania haiongozwi kwa mashinikizo ya aina YOYOTE" that is leadership.
- Mh. RAIS amesimama na Maadili ya Tanzania, amesimama na amani ya Tanzania, amesimama na uchumi wa Tanzania. Hongera sana Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan.
Mwisho kabisa nipende Kumpongeza sana Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuonyesha ukakamavu na uzalendo wa hali ya juu kwa Taifa letu, kwa kuendesha uongozi kisayansi hakika Tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan.
Mungu Mubarak Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan
Mungu Ibariki Tanzania
Kazi na utu Tunasonga mbele
Kazi iendelee 🇹🇿❤️
Husika na mada tajwa hapo juu.
Tanzania imebahatika kuwa na Rais ambaye anaweza kuitetea na Kuilinda Tanzania dhidi ya manyanyaso ya mabeberu.
- ameionyesha Dunia kuwa Tanzania inaweza kusimama bila wao, huo ndo uongozi ambao Africa inahitaji kwa Sasa.
- ameyakataa mashinikizo ya kimagharibi waziwazi bila kificho, kupitia hili ameionyesha Dunia kuwa wanawake wanaweza, na Historia itamkumbuka Dr. Samia kama kiongozi hodari na makini.
- amekataa kupelekeshwa na mashinikizo ya watu/vikundi vya watu/nchi YOYOTE, hili limemiongezea heshima kubwa Duniani. Namnukuu Mh. RAIS "Tanzania haiongozwi kwa mashinikizo ya aina YOYOTE" that is leadership.
- Mh. RAIS amesimama na Maadili ya Tanzania, amesimama na amani ya Tanzania, amesimama na uchumi wa Tanzania. Hongera sana Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan.
Mwisho kabisa nipende Kumpongeza sana Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuonyesha ukakamavu na uzalendo wa hali ya juu kwa Taifa letu, kwa kuendesha uongozi kisayansi hakika Tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan.
Mungu Mubarak Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan
Mungu Ibariki Tanzania
Kazi na utu Tunasonga mbele
Kazi iendelee 🇹🇿❤️
Unakanusha nini ?.Ukiona umejibu jua umefanya .Hongera kwa ChatGptMm siwezi kutumia huo uchafu, wa kimagharibi mm ni mzalendo KWELIKWELI sema tu na shule nimeenda
Hao wachoma vituo vya mafuta Bora walikufa