Samia ni Rais pekee Afrika anayeukataa ukoloni mambo Leo (neo-colonialism) waziwazi

Samia ni Rais pekee Afrika anayeukataa ukoloni mambo Leo (neo-colonialism) waziwazi

Husika na mada tajwa hapo juu.
Tanzania imebahatika kuwa na Rais ambaye anaweza kuitetea na Kuilinda Tanzania dhidi ya manyanyaso ya mabeberu.
  • ameionyesha Dunia kuwa Tanzania inaweza kusimama bila wao, huo ndo uongozi ambao Africa inahitaji kwa Sasa.
  • ameyakataa mashinikizo ya kimagharibi waziwazi bila kificho, kupitia hili ameionyesha Dunia kuwa wanawake wanaweza, na Historia itamkumbuka Dr. Samia kama kiongozi hodari na makini.
  • amekataa kupelekeshwa na mashinikizo ya watu/vikundi vya watu/nchi YOYOTE, hili limemiongezea heshima kubwa Duniani. Namnukuu Mh. RAIS "Tanzania haiongozwi kwa mashinikizo ya aina YOYOTE" that is leadership.
  • Mh. RAIS amesimama na Maadili ya Tanzania, amesimama na amani ya Tanzania, amesimama na uchumi wa Tanzania. Hongera sana Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan.

Mwisho kabisa nipende Kumpongeza sana Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuonyesha ukakamavu na uzalendo wa hali ya juu kwa Taifa letu, kwa kuendesha uongozi kisayansi hakika Tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan.
Mungu Mubarak Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan
Mungu Ibariki Tanzania
Kazi na utu Tunasonga mbele
Kazi iendelee 🇹🇿❤️
Nyinyi jamaa akili zenu zimeganda kabisa.

Takataka za Bi.Mkora mnaleta kwenye mtandao mlioufungia.
 
Huo u Dr wa samuya ni wa nn, tuanzie hapo kwanza...inawezekana vp mtu aliyefeli form 4 kupata u Dr?!.
 
Mm siwezi kutumia huo uchafu, wa kimagharibi mm ni mzalendo KWELIKWELI sema tu na shule nimeenda
Huu ukhanithi unaoweka humu kila siku ndio unajisifia umeenda shule?! Ndio maana elimu yetu inadharaulika sana.
 
JamiiForums na nyie mnakosea mnapowapa airtime wapumbavu kama hawa na huku bwana zao wamefungia JF bila sababu
Screenshot_20251212_203509_X.jpg
 
Kwamba kila kitu hatuwezi Bandari (the commanding height of the country) mnasema hatuwezi tuwape wengine; Bwawa tumemaliza mnataka kuwaleta ADANi na mnangangania kwamba wachina ndio wanachukua kazi zenu za uchuuzi ? Kwamba hizo ndio mnaweza !!!!

Umeme mnao wa kumwaga ila mnatumia Gesi kutoka ugaibuni na kubadilika kuwa madalali wa kuuza gesi. In short ile mentality kipindi cha Uhuru kwamba tunajihidi kuwa self reliant sasa hivi tumekuwa totally dependent na baada ya kunyimwa ndio mnaleta story za sizitaki mbichi hizi....


Na baada ya kuona kuna uwezekano wa kushindwa kutembeza bakuli ndio mmekuja na hizi story

 
Nadhani mfumo wako wa akili na wa mavi imechanganyikana beyond recognition
 
Back
Top Bottom