Unapenda wakoloni kwasabu Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan anapigana na wakoloni, anasimama na Tanzania...huyu ni Rais hodari Tanzania na AfricaYeye anataka kuweka ukoloni wa familia yake na machawa wake. Ni bora wakoloni wa waliopita.
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ni putini wa Africa
Unapenda wakoloni kwasabu Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan anapigana na wakoloni, anasimama na Tanzania...huyu ni Rais hodari Tanzania na Africa
Dunia imeona kumbe Kuna wanawake wa Kiafrica ambao ni very strong mfano wa Dr Samia Suluhu HassanHodari kuua, kuteka, kutesa, kupoteza, kubaka, kufira maelfu ya Watanganyika.
Kufisadi kuteua ndugu zake, kutumia chawa kama wewe, Mwijaku, wasaliti kumpigia debe.
Mfano wa wanawake wa shoka, strong ni kama Rais wa Namibia , Netumbo Nandi-Ndaitwah au Barbados President Mia Mottley. Wapigania haki duniani.Dunia imeona kumbe Kuna wanawake wa Kiafrica ambao ni very strong mfano wa Dr Samia Suluhu Hassan
Umeelewa nilichokiandika? Hao wamefanya Nini? Je wamekataa mashinikizo ya kimagharibi? Je! Wamekataa hela za kimagharibi? Je wamesimamia maadili ya mataifa yao? Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan is trending President in the world for her strong patriotismMfano wa wanawake wa shoka, strong ni kama Rais wa Namibia , Netumbo Nandi-Ndaitwah au Barbados President Mia Mottley. Wapigania haki duniani.
Muangalie hapa
View: https://youtu.be/aUvWnTesK3w?si=KZm5Hrrc7uewcMxS
Umeelewa nilichokiandika? Hao wamefanya Nini? Je wamekataa mashinikizo ya kimagharibi? Je! Wamekataa hela za kimagharibi? Je wamesimamia maadili ya mataifa yao? Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan is trending President in the world for her strong patriotism
Level za Samia ni level za akina PutinSamia ana trend kwa machawa, wapuuzi mliolipwa na Samia, Abdul kwa kodi zetu kutuua, kutupoteza, kututesa, kututupa magereza.
Samia anasimamia maadili, ukweli , haki gani?
Patriotic, Mzalendo wa Tanganyika ?anaua, kuteka kupoteza Watanganyika wote wazalendo
Haya ni matokeo ya kuingiliwa kwenye tundu ya la katikati ya matako matokeo yake tundu limeanza kuvujisha akiliHusika na mada tajwa hapo juu.
Tanzania imebahatika kuwa na Rais ambaye anaweza kuitetea na Kuilinda Tanzania dhidi ya manyanyaso ya mabeberu.
- ameionyesha Dunia kuwa Tanzania inaweza kusimama bila wao, huo ndo uongozi ambao Africa inahitaji kwa Sasa.
- ameyakataa mashinikizo ya kimagharibi waziwazi bila kificho, kupitia hili ameionyesha Dunia kuwa wanawake wanaweza, na Historia itamkumbuka Dr. Samia kama kiongozi hodari na makini.
- amekataa kupelekeshwa na mashinikizo ya watu/vikundi vya watu/nchi YOYOTE, hili limemiongezea heshima kubwa Duniani. Namnukuu Mh. RAIS "Tanzania haiongozwi kwa mashinikizo ya aina YOYOTE" that is leadership.
- Mh. RAIS amesimama na Maadili ya Tanzania, amesimama na amani ya Tanzania, amesimama na uchumi wa Tanzania. Hongera sana Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan.
Mwisho kabisa nipende Kumpongeza sana Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuonyesha ukakamavu na uzalendo wa hali ya juu kwa Taifa letu, kwa kuendesha uongozi kisayansi hakika Tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan.
Mungu Mubarak Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan
Mungu Ibariki Tanzania
Kazi na utu Tunasonga mbele
Kazi iendelee 🇹🇿❤️
Samiw anaua Wananchi wake kwa maelfu? Anajificha kuapishwa na maporini?Level za Samia ni level za akina Putin
Hakuna anayenilipa
Tanzania has a best President in Africa, ni Rais pekee asiyeteteleshawa na wamagharibi
Uapisho wake ulifatiliwa na Dunia nzima, sahz ni digital century hata madarasan sahz tuna smart classes
Kimbesa11, unasemaje kuhusu hii familia?
uko sahihi 100% gentleman,Husika na mada tajwa hapo juu.