mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
Ziara aliyofanya Jimbo mpina, kasikilizw you tubeLini amesema atamteua mpina kwenye viti 10 vya ubunge.?
We ni bwanamdg akili yake haina akili, ni jambo la wazi Samia ndio Rais ht yule kibaraka angegombea.Kwa yanayoendelea naona kabisa Kuwa CCM imeamua kuwa Mungu. Kauli za Viongozi wa CCM Zinaleta sintofahamu, wanaongea Kauli za uchochezi na zinazoweza leta Mgongano, CCM inaongea as if Rais wa TANZANIA KWA 2025-2030 kama kwamba Ameshatangazwa kuwa ni Samia. Nasema hivi wazi wazi huu ni UJINGA na uvunjifu wa Amani. Ndani ya Kipindi Kifupi Kikwete na Rais Samia wameongea Kauli zinazoashiria upangaji wa matokeo ya Uraisi au niseme Kuiba kiti Cha Uraisi Kwa 2025-2030 ambapo Kwa Sasa hakuna mmiliki wa hiko kiti, na hakuna anayejua ni nani atashika kitu huko. Nazinukuu Kauli hizo
1. Samia alisema wazi kuwa Atamchagua Mpina kuwa mbunge Kwa kutumia nafasi zake 10 za Rais. Aliongea maneno haya bila kutumia Kauli ya kama nitashinda Uraisi basi nitafanya hivi. Samia amejuaje kama yeye Atakuwa Rais wakati Uchaguzi haujafanyika, au ndio mana yeye na Rafiki yake Kikwete walifanya kujiteua bila kipingamizi. Kuna Kila dalili ya uwizi wa kura kufanyika Ili Samia abaki madarakani, na kiongozi mkubwa zoezi hili ni kikwete , ambaye anadai Sheria za uchaguzi zinatosha, huku akijua fikra hazifai na alienda Kenya na kusifia walivyo na uchaguzi wa haki. Hivyo kikwete ni moja ya watu walio na mpango wa kusaidia wizi wa Kura.
2. Kauli nyingine Tata , alitoa Mzee kikwete , ambaye yeye amejipa cheo Cha kutuamulia Watanzania Raisi awe nani. Jana Kwa Mwamposa alisema maneno kuwa Rais Samia atakapomaliza Urais wake 2030. Maneno yanayoashiria kuwa tayari Samia anayepingwa na mamilioni ya watanzania atakuwa Raisi. Wakati bado Uchaguzi haujafanyika. Nadhani kanuni za uchaguzi ni za hovyo Kwa makusudi Ili kuwasaidia CCM Kuiba uchaguzi na kumuweka Samia madarakani kibabe.
Mitandaoni siku Tano zilizopita watu walihamasisha watu waende kanisa la gwajima kudai haki, lakini ndani ya Siku mbili tu tayari Jeshi la Polisi limetoa tamko la mkwara mzito na Mimi hapo hapo nikajifunza kitu kumbe Madai ya Mitandaoni ya uchaguzi huru wanayaona ila hawataki kuyafanyia kazi, nilitegemea muliro aandike barua Kwa tume ya uchaguzi warekebishe taratibu zao.
Suala la uwizi wa uchaguzi inaonekana haliepukiki, na nawashauri Chadema wasishiriki uchafuzi huu, Hata zito kabwe hatofanikiwa Kwa maana Hawa watu wakiongozwa na wambura wamepanga Kuiba uchaguzi.
Wasimamizi ni CCm, mahakama CCM, Polisi kina Siro CCM, NEC CCM, Sasa hapo Kuna haki Gani ,
Msisahau wananchi wengine tunarizishwa na utawala wakeKwa yanayoendelea naona kabisa Kuwa CCM imeamua kuwa Mungu. Kauli za Viongozi wa CCM Zinaleta sintofahamu, wanaongea Kauli za uchochezi na zinazoweza leta Mgongano, CCM inaongea as if Rais wa TANZANIA KWA 2025-2030 kama kwamba Ameshatangazwa kuwa ni Samia. Nasema hivi wazi wazi huu ni UJINGA na uvunjifu wa Amani. Ndani ya Kipindi Kifupi Kikwete na Rais Samia wameongea Kauli zinazoashiria upangaji wa matokeo ya Uraisi au niseme Kuiba kiti Cha Uraisi Kwa 2025-2030 ambapo Kwa Sasa hakuna mmiliki wa hiko kiti, na hakuna anayejua ni nani atashika kitu huko. Nazinukuu Kauli hizo
1. Samia alisema wazi kuwa Atamchagua Mpina kuwa mbunge Kwa kutumia nafasi zake 10 za Rais. Aliongea maneno haya bila kutumia Kauli ya kama nitashinda Uraisi basi nitafanya hivi. Samia amejuaje kama yeye Atakuwa Rais wakati Uchaguzi haujafanyika, au ndio mana yeye na Rafiki yake Kikwete walifanya kujiteua bila kipingamizi. Kuna Kila dalili ya uwizi wa kura kufanyika Ili Samia abaki madarakani, na kiongozi mkubwa zoezi hili ni kikwete , ambaye anadai Sheria za uchaguzi zinatosha, huku akijua fikra hazifai na alienda Kenya na kusifia walivyo na uchaguzi wa haki. Hivyo kikwete ni moja ya watu walio na mpango wa kusaidia wizi wa Kura.
2. Kauli nyingine Tata , alitoa Mzee kikwete , ambaye yeye amejipa cheo Cha kutuamulia Watanzania Raisi awe nani. Jana Kwa Mwamposa alisema maneno kuwa Rais Samia atakapomaliza Urais wake 2030. Maneno yanayoashiria kuwa tayari Samia anayepingwa na mamilioni ya watanzania atakuwa Raisi. Wakati bado Uchaguzi haujafanyika. Nadhani kanuni za uchaguzi ni za hovyo Kwa makusudi Ili kuwasaidia CCM Kuiba uchaguzi na kumuweka Samia madarakani kibabe.
Mitandaoni siku Tano zilizopita watu walihamasisha watu waende kanisa la gwajima kudai haki, lakini ndani ya Siku mbili tu tayari Jeshi la Polisi limetoa tamko la mkwara mzito na Mimi hapo hapo nikajifunza kitu kumbe Madai ya Mitandaoni ya uchaguzi huru wanayaona ila hawataki kuyafanyia kazi, nilitegemea muliro aandike barua Kwa tume ya uchaguzi warekebishe taratibu zao.
Suala la uwizi wa uchaguzi inaonekana haliepukiki, na nawashauri Chadema wasishiriki uchafuzi huu, Hata zito kabwe hatofanikiwa Kwa maana Hawa watu wakiongozwa na wambura wamepanga Kuiba uchaguzi.
Wasimamizi ni CCm, mahakama CCM, Polisi kina Siro CCM, NEC CCM, Sasa hapo Kuna haki Gani ,
M
Msisahau wananchi wengine tunarizishwa na utawala wake
Tunaona juhudi zake na maendeleo tunayashuhudia
Tutampgia kura Samia
Nyie msipopiga ni sawa si lazima
Ila akishinda kwa asilimia 90 msije sema kaiba akati nyie hamjapiga kura
Mkuu kwenye swala la Civil Services naanza kukuelewa.Ujinga ni kukubali hadi 2030 madaraka ya raisi, atujayafanyia kazi kwa athari zilizopo kwa maelezo ya Gwajima.
Hiyo ndio priority, number one.
Hayo ya ahadi za ubunge, bi tozo kila mtu anampa hizo ahadi kama hadaa tu.
Njia pekee ya kujikomboa ni kuimarisha civil services kwanza kwa kuondoa madaraka ya raisi ya kutimua watu akijisikia tu.
Wengine tuliwaambia kwa uongozi wa Samia, come 2025 amta-taka kumsikia.
You ain’t see nothing yet, hao watu aliowachagua ‘bi tozo’ kumlindia madaraka mpaka anagombea leo.
Hii miaka mitano inayofuata, salaleh; majamaa walio nyuma yake wanafujo balaa.
Just wait and see
ShukranMkuu kwenye swala la Civil Services naanza kukuelewa.
Shida moja kubwa naiona, tumempa mwanasiasa nguvu kubwa ya kuamua nani awe Civil Servant, kwa muda gani, alipwe kiasi gani?
Hii inapelekea watumishi wetu wafanye kazi kwa kumtegemea huyo mwanasiasa.
To be fair ukigombea kiti ni lazima u project success, ukifanikiwa utafanya nini.Kwa yanayoendelea naona kabisa Kuwa CCM imeamua kuwa Mungu. Kauli za Viongozi wa CCM Zinaleta sintofahamu, wanaongea Kauli za uchochezi na zinazoweza leta Mgongano, CCM inaongea as if Rais wa TANZANIA KWA 2025-2030 kama kwamba Ameshatangazwa kuwa ni Samia. Nasema hivi wazi wazi huu ni UJINGA na uvunjifu wa Amani. Ndani ya Kipindi Kifupi Kikwete na Rais Samia wameongea Kauli zinazoashiria upangaji wa matokeo ya Uraisi au niseme Kuiba kiti Cha Uraisi Kwa 2025-2030 ambapo Kwa Sasa hakuna mmiliki wa hiko kiti, na hakuna anayejua ni nani atashika kitu huko. Nazinukuu Kauli hizo
1. Samia alisema wazi kuwa Atamchagua Mpina kuwa mbunge Kwa kutumia nafasi zake 10 za Rais. Aliongea maneno haya bila kutumia Kauli ya kama nitashinda Uraisi basi nitafanya hivi. Samia amejuaje kama yeye Atakuwa Rais wakati Uchaguzi haujafanyika, au ndio mana yeye na Rafiki yake Kikwete walifanya kujiteua bila kipingamizi. Kuna Kila dalili ya uwizi wa kura kufanyika Ili Samia abaki madarakani, na kiongozi mkubwa zoezi hili ni kikwete , ambaye anadai Sheria za uchaguzi zinatosha, huku akijua fikra hazifai na alienda Kenya na kusifia walivyo na uchaguzi wa haki. Hivyo kikwete ni moja ya watu walio na mpango wa kusaidia wizi wa Kura.
2. Kauli nyingine Tata , alitoa Mzee kikwete , ambaye yeye amejipa cheo Cha kutuamulia Watanzania Raisi awe nani. Jana Kwa Mwamposa alisema maneno kuwa Rais Samia atakapomaliza Urais wake 2030. Maneno yanayoashiria kuwa tayari Samia anayepingwa na mamilioni ya watanzania atakuwa Raisi. Wakati bado Uchaguzi haujafanyika. Nadhani kanuni za uchaguzi ni za hovyo Kwa makusudi Ili kuwasaidia CCM Kuiba uchaguzi na kumuweka Samia madarakani kibabe.
Mitandaoni siku Tano zilizopita watu walihamasisha watu waende kanisa la gwajima kudai haki, lakini ndani ya Siku mbili tu tayari Jeshi la Polisi limetoa tamko la mkwara mzito na Mimi hapo hapo nikajifunza kitu kumbe Madai ya Mitandaoni ya uchaguzi huru wanayaona ila hawataki kuyafanyia kazi, nilitegemea muliro aandike barua Kwa tume ya uchaguzi warekebishe taratibu zao.
Suala la uwizi wa uchaguzi inaonekana haliepukiki, na nawashauri Chadema wasishiriki uchafuzi huu, Hata zito kabwe hatofanikiwa Kwa maana Hawa watu wakiongozwa na wambura wamepanga Kuiba uchaguzi.
Wasimamizi ni CCm, mahakama CCM, Polisi kina Siro CCM, NEC CCM, Sasa hapo Kuna haki Gani ,
kuna taasisis inakaa kimya unyama unatendekaMkuu genge la wahuni linampigania kwa namna yoyote asalie madarakani ili liendelee kula keki ya taifa peke yao...yaani hapo ni afe kipa afe beki jambo lao litimie!.
JK kwasasa kajidhihirisha waziwazi yeye ndio mshika remoti, enzi za Jiwe aliufyata mkia wake!
Waisiharamu watapingaHuyo JK wakati wa uongozi wake alipora ushindi wa maalim na ushindi wa Lowasa. Ni shetani mnafiki.
Kura yangu ili iwe salama nitabaki nayo mwenyewe tu.Binafsi sina uwezo wa kuilinda kura yangu dhidi ya policcm na Ded? Kwa hiyo silaha yangu pekee ni kususia tu hilo zoezi lao. Full stop.
Siyo Hana akili, Innocent & honest, siyo kama wewe uliyekwishaharobiwa na shetani! Dhambi yenu itakuja tu, hata wale waliosaidia uovu. Conscience (utashi) inakutofautisha wewe na mbwa. Unajua kipi kibaya na kipi kizuri (dhambi au wema) lakini wewe unachagua dhambi. Mbwa hana hivyo.We ni bwanamdg akili yake haina akili, ni jambo la wazi Samia ndio Rais ht yule kibaraka angegombea.