KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Samia ni rais hadi 2030, tunamuombea kwa MUNGU awe hai na atuongoze! nchi yetu haiwezi kuongozwa na vibaka ambao wamekimbiza familia yao.
Wamuweke yule wa kifo ni kifo tu na jiwe halafu uchaguzi uwe huru na wazi nakuhakikishia jiwe kitapata kura nyingi kumzidi ndugu chawaWe ni bwanamdg akili yake haina akili, ni jambo la wazi Samia ndio Rais ht yule kibaraka angegombea.
Hata jambazi huwa kuna watu wanaridhishwa na ujambazi wake. Hivyo wewe kama umebeba roho ya uovu, kushirikiana na kuunga mkono uovu, siyo jambo la ajabu.NoN
Angalia tarehe ya bandiko hili Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything! kama ulikuwa hujui, habari ndio hiyo!.Kwa yanayoendelea naona CCM imeamua kuwa Mungu. CCM inaongea as if Rais wa TANZANIA KWA 2025-2030 ameshatangazwa kuwa ni Samia.
Hawa watu wamelewa madaraka chakariii. Kwa wale watu wasiojua kulewa madaraka ni nini basi ndiyo hii. Wao wanaona wana haki ya kufanya kila kitu na hawajali mtu yoyote kwa sababu wana uhakika hakuna cha kuwafanya. Wanaua watakavyo, wanateua watu watakavyo, wanaamua ''makanisa ya shetani'' ni yapi, wanaamua wamfungilie mtu kesi gani na wakati gani...... yaani list ni ndefu. Watanzania tumebaki tunalia na kutegemea Mungu aingilie tena kati kutuokoa japo nadhani Mungu naye anasema sisi ni wajinga, hatujushughulishi.Ujinga ni kukubali hadi 2030 madaraka ya raisi, atujayafanyia kazi kwa athari zilizopo kwa maelezo ya Gwajima.
Hiyo ndio priority, number one.
Hayo ya ahadi za ubunge, bi tozo kila mtu anampa hizo ahadi kama hadaa tu.
Njia pekee ya kujikomboa ni kuimarisha civil services kwanza kwa kuondoa madaraka ya raisi ya kutimua watu akijisikia tu.
Wengine tuliwaambia kwa uongozi wa Samia, come 2025 amta-taka kumsikia.
You ain’t see nothing yet, hao watu aliowachagua ‘bi tozo’ kumlindia madaraka mpaka anagombea leo.
Hii miaka mitano inayofuata, salaleh; majamaa walio nyuma yake wanafujo balaa.
Just wait and see
Wewe ungekuwa uko kwenye nchi ya mabwege kama yetu ungekubali kukaa nyumbani na kulea wajukuu wakati una uhuru wa kufanya upendavyo?hivi Kikwete kweli hata huwa anaona aibu?
basi wote tumeishajua kuwa ndiye mshika rimoti
sasa kuambatana kila sehemu kila ziara
si akae atulie alee wajukuu?
kwani hana wajukuu?
Huenda haya ndiyo akina Mpango na Majaliwa waliona ikabidi wajikalie zao pembeni.
Mtu umestaafu ila huna tofauti na waliopo active maofisini.
hahah sasa mabwege nayo kuna muda unafika nayo yanachoka ujue.Wewe ungekuwa uko kwenye nchi ya mabwege kama yetu ungekubali kukaa nyumbani na kulea wajukuu wakati una uhuru wa kufanya upendavyo?
Ni kweli ila siyo kwa sasa japo huwezi ku rule out ila Tanzania ingredients zote za kufanya nchi ilipuke ziko tayari kasoro tu ka-spark ka kuanzisha moto.hahah sasa mabwege nayo kuna muda unafika nayo yanachoka ujue.
kila bwege ana kiwango chake cha uvumilivu.
Sikiliza Mimi binafsi sina shida na Samia, Bali aturekebishie nchi hii Ili ibaki Salama, atunge Sheria za kusimamia haki sawa za uchaguzi, kudhibiti ufisadi, kulinda rasilimali. Hivi ndo wanavyofanya nchi zilizoendelea, china ukiiba unanyongwa, hii nchi tukufa wote vizazi vijavo angalau vibaki salama, Sasa Mali zote utawaoa waarabu kwakuwa unajua Samia miaka 50!ijayo atakuwa kadediM
Msisahau wananchi wengine tunarizishwa na utawala wake
Tunaona juhudi zake na maendeleo tunayashuhudia
Tutampgia kura Samia
Nyie msipopiga ni sawa si lazima
Ila akishinda kwa asilimia 90 msije sema kaiba akati nyie hamjapiga kura
"Hofu na kuchanganyikiwa"Hofu na kuchanganyikiwa