Course Coordinator1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 857
- 2,341
Namkumbusha Samia Suluhu Hassan Samia uache kiburi na majivuno ya madaraka ubaki kuwa mnyenyekevu kwa wananchi. Samia sikiliza wananchi.
Samia , jambo la Oktoba 29 litabaki kuwa kovu na doa katika maisha yako milele hadi unakufa.
Samia, hakuna Rais aliyewahi kuua watu mwenyewe kwa uroho wa madaraka na kiburi kama wewe hapa Tz zaidi ya 500 hakuna.
Samia, hakuna Rais aliyewahi kuteka wananchi kwa wingi hapa Tz kama wewe Samia angalia leo wananchi zaidi ya 400 hawajulikani walipo.
Samia, madaraka yasikufanye ujione upo juu ya wengine
Samia, nitakupa tu mifano michache ya wafamle au marais waliokuwa na viburi kama wewe lakini wakaanguka vibaya
1. Muammar Gaddafi (Libya)
Alitawala kwa zaidi ya miaka 40. Kadri muda ulivyokwenda, alijenga mfumo wa mamlaka binafsi na kupuuza upinzani. Wakati wa Libyan Civil War, alikataa kuachia madaraka licha ya shinikizo kubwa, na mwisho wake ulikuwa wa kuanguka vibaya sana baada ya kupinduliwa, huyu aliuwawa kama mbwa.
2. Adolf Hitler (Ujerumani)
Kiburi na kujiamini kupita kiasi vilimfanya kupuuza ushauri wa kijeshi na kufanya maamuzi hatari wakati wa vita vya pili vya dunia Mwisho wake ulikuwa kupoteza vita na kujiangamiza mwenyewe huku nchi ikiwa imeharibika vibaya.
3. Napoleon Bonaparte (Ufaransa)
Baada ya mafanikio makubwa ya kijeshi, alijiona hawezi kushindwa. Uamuzi wake wa kuivamia Urusi (French invasion of Russia) ulikuwa kosa kubwa lililopelekea kuanguka kwake na hatimaye kuondolewa madarakani.
4. Robert Mugabe (Zimbabwe)
Alianza kama shujaa wa ukombozi, lakini baadaye akawa mroho wa madaraka kwa mrefu alipuuza umaskini wa watu wake wananchi wakaanza kununua mkate mmoja kwa milioni 1 alitesa wapinzani wake wa kisiasa. Mwishowe aliondolewa madarakani mwaka 2017 baada ya shinikizo kubwa la kisiasa na kijeshi.
5. Hosni Mubarak (Misri)
Alitawala kwa miongo kadhaa na kupuuzia madai ya mageuzi. Wakati wa Arab Spring, wananchi waliasi kwa wingi, na akalazimika kujiuzulu.
Jean-Bédel Bokassa (Afrika ya Kati)
Alijitangaza kuwa “mfalme” na kufanya sherehe ya gharama kubwa sana wakati wananchi wengi walikuwa maskini. Aliondolewa madarakani kwa msaada wa jeshi la Ufaransa mwaka 1979. Kujitukuza kupita kiasi huku ukipuuza hali ya wananchi huleta kuanguka haraka.
6. Mobutu Sese Seko (Zaire/DRC)
Alitawala kwa miongo kadhaa akijenga utajiri binafsi na mfumo wa hofu. Alikimbia nchi mwaka 1997 wakati wa uasi wa kijeshi. Uongozi wa muda mrefu bila uwajibikaji hujenga hasira ya umma.
7. Omar al-Bashir (Sudan)
Alitawala kwa muda mrefu kwa mkono wa chuma, akipuuza maandamano ya wananchi. Aliondolewa na jeshi mwaka 2019 baada ya maandamano makubwa. Sauti ya wananchi ikipuuzwa kwa muda mrefu, hulipuka kwa nguvu na hutoamini.
8. Charles Taylor (Liberia)
Aliongoza wakati wa vita na alituhumiwa kuchochea migogoro. Alilazimika kujiuzulu na baadaye akahukumiwa kifungo cha muda mrefu na mahakama ya kimataifa. Matumizi mabaya ya madaraka yanaweza kuleta hata adhabu ya Mungu kwa familia yako.
9. Yahya Jammeh (Gambia)
Alitawala kwa miaka mingi kwa mtindo wa kiimla. Alikataa kukubali kushindwa uchaguzi 2016 lakini akalazimika kuondoka baada ya shinikizo kutoka kwa wananchi.
Mara nyingi si kiburi pekee kinachoangusha kiongozi, lakini kiburi huchangia sana:
Kukataa kusikiliza ushauri
Kupuuza wananchi
Kufanya maamuzi yasiyo na mipaka
Mwisho wake, mfumo unavunjika au watu watakuchoka.
Kama huwezi kujifunza kwa hawa maraisi jifunze kwa hawa wafalme katika Biblia walivyoanguka vibaya
1. Nebuchadnezzar (Babeli)
Alijivuna kwa nguvu na utajiri wa ufalme wake. Lakini alikuja kupoteza akili kwa muda na akaishi kama mnyama mpaka alipotambua ukuu wa Mungu. Kiburi humshusha mtu.
2. Mfalme Sauli
Alianza vizuri lakini baadaye alikosa utii na akaanza kujiona. Alipuuzia maagizo ya Mungu. Alikataliwa kuwa mfalme na ufalme wake kupewa mwingine. Kutotii na kiburi huondoa baraka za uongozi.
3. Mfalme Uzia (Yuda)
Alipofanikiwa, alijaa kiburi na akaingia hekaluni kufanya kazi ya ukuhani ambayo haikuwa yake. lipigwa na ukoma na akaishi akiwa ametengwa hadi kufa.Kiburi kisipodhibitiwa huzaa umauti.
4. Mfalme Herode.
Alikubali kusifiwa kama Mungu badala ya kumpa Mungu utukufu.Alipatwa na kifo cha ghafla. Kujitukuza kupita kiasi kunaweza kuleta mwisho wa aibu.
5. Mfalme Farao
Alikuwa na moyo mgumu na kiburi, akakataa kuwaachia Waisraeli waende licha ya maonyo. Nchi yake ya Misri ilipatwa na mapigo makubwa na jeshi lake likaangamia alipowafuatilia Waisraeli. iburi kinaweza kusababisha maafa si kwa kiongozi tu bali kwa taifa lote.
6. Malikia Yezebel
Alitesa watu wa Mungu na kuanza kuabudu Juq alimshawishi mme wake kutenda mabaya
Kuabudu miungu ya kipagani (hasa Baali). Yezebeli aliuawa kwa kutupwa chini kutoka dirishani la jumba lake. Huo ulikuwa mwisho wa aibu na wa kutisha. Kiburi na matumizi mabaya ya madaraka huleta anguko la ghafla
Samia
Uovu unaofanya kwa nguvu ya mamlaka haukwepi matokeo, hakuna aliye juu ya haki—hata wafalme au malkia. Uongozi wa hofu hauwezi kudumu milele
Samia
Kiburi cha madaraka huanza polepole kujiona juu ya sheria na majivuno
Utafanya ukandamizaji kwa maamuzi yasiyojali wengine
Utajiona mjuaji kwa muda tu lakini saa inakuja walikua wanakulinda wataweka silaha chini utabaki mwenyewe utaondolewa, utukimbia, au kuaibika.
Samia, Jifunze kwa hawa wachache
1. Nelson Mandela
2. Julius Nyerere (Tanzania)
3. George Washington (Marekani
4. Levy Mwanawasa (Zambia)
5. Ellen Johnson Sirleaf (Liberia)
Walijufunza
Madaraka ni ya muda, si ya milele
Kusikiliza wananchi kunjenga heshima ya kudumu
Kuachia madaraka kwa hiari huacha urithi mzuri.
Acha kiburi Samia, madaraka yasikulevye, nakiona kifo chako hapo mbele kikiwa cha aibu hata kabla ya 2030.