Samia punguza kiburi cha madaraka, anguko lako litakuwa la aibu

Na siku ya kifo chake tutasherehekea na kumtukuza sana Mungu na Historia yake itabaki kwamba aliwahi kuwepo dikteta Mwana mke Tanzania
 
Kwenye huu uzi wangu bado hujaona anguko la Samia la aibu.
1. Nchimbi amejiuzulu hata hawana mwaka kwenye uongozi wao
2. Tayari amefiwa mme
Sisi tunaendelea kumsihi amrudie Mungu wake la sivyo anguko lake litakua la aibu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…