Samia rudi darasani bado matumizi ya maneno "UTU" na " Uzalendo" huyajui

Mashamba Makubwa Nalima

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2024
Posts
7,656
Reaction score
3,785
Kwa miaka na miaka umekuwa ukitumia neno "uzalendo" katika muktadha wa kumaanisha mtu aliyetayari kumtetea kiongozi au raisi (hasahasa UOVU wake: wizi, ufisadi, utekaji n.k) na sio nchi yake. Hapa umekuwa ukikosea RUDI DARASANI.

Umekuwa pia ukitumia neno "UTU" nalo wakati katika uongozi wako wote haujawahi kuonesha utu kwenye kitu chochote. Kwenye hili nalo mweshimiwa Samia RUDI DARASANI

1758965990231.png
 
This reminds me when I was in primary school lying to my teacher that I have done the homework but I left the book at home and the wicked man took me home on his bicycle[emoji25][emoji25]
 
Unamuonea bure mkuu, alishakuambia matokeo ya form 4 alipata zero...so what do you expect from her?!.
Sa100 anaingizwa mkenge na wasaidizi wake hata kwa vitu vidogo kabisa, tena vya kawaida!!.
 
Kwa miaka na miaka umekuwa ukitumia neno "uzalendo" katika muktadha wa kumaanisha mtu aliyetayari kumtetea kiongozi au raisi (hasahasa UOVU wake: wizi, ufisadi, utekaji n.k) na sio nchi yake. Hapa umekuwa ukikosea RUDI DARASANI.

Umekuwa pia ukitumia neno "UTU" nalo wakati katika uongozi wako wote haujawahi kuonesha utu kwenye kitu chochote. Kwenye hili nalo mweshimiwa Samia RUDI DARASANI

Huyo unayesema Hana utu ndiye aliyewarudisha kutoka ukimbizini Tundu Lissu, Lema kurudi nchini na kufanya siasa. Na huyo huyo ndiye aliyemfutia kesi ya ugaidi mbowe na kurudi uraiani.
 
Kwa miaka na miaka umekuwa ukitumia neno "uzalendo" katika muktadha wa kumaanisha mtu aliyetayari kumtetea kiongozi au raisi (hasahasa UOVU wake: wizi, ufisadi, utekaji n.k) na sio nchi yake. Hapa umekuwa ukikosea RUDI DARASANI.

Umekuwa pia ukitumia neno "UTU" nalo wakati katika uongozi wako wote haujawahi kuonesha utu kwenye kitu chochote. Kwenye hili nalo mweshimiwa Samia RUDI DARASANI

Umekuwa pia ukitumia neno "UTU" nalo wakati katika uongozi wako wote haujawahi kuonesha utu kwenye kitu chochote. Kwenye hili nalo mweshimiwa Samia RUDI DARASANI
 
Huyo ni Rais tena wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lazima heshima na utii iwepo hata kama hafanyi vile unavyotaka wewe. Asalam Alekum!
Kuambiwa arudi shule ni ushauri mzuri tu na wa kujenga hata kama una cheo gani katika jamii! Elimu na maarifa ni muhimu sana kwa kiongozi. Kumbuka elimu haina mwisho.
 
Back
Top Bottom