Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,656
- 3,785
This reminds me when I was in primary school lying to my teacher that I have done the homework but I left the book at home and the wicked man took me home on his bicycle[emoji25][emoji25]Kwa miaka na miaka umekuwa ukitumia neno "uzalendo" katika muktadha wa kumaanisha mtu aliyetayari kumtetea kiongozi au raisi (hasahasa UOVU wake: wizi, ufisadi, utekaji n.k) na sio nchi yake. Hapa umekuwa ukikosea RUDI DARASANI.
Umekuwa pia ukitumia neno "UTU" nalo wakati katika uongozi wako wote haujawahi kuonesha utu kwenye kitu chochote. Kwenye hili nalo mweshimiwa Samia RUDI DARASANI
Arudi akapate zero tena?Rudi shule
Huyo unayesema Hana utu ndiye aliyewarudisha kutoka ukimbizini Tundu Lissu, Lema kurudi nchini na kufanya siasa. Na huyo huyo ndiye aliyemfutia kesi ya ugaidi mbowe na kurudi uraiani.Kwa miaka na miaka umekuwa ukitumia neno "uzalendo" katika muktadha wa kumaanisha mtu aliyetayari kumtetea kiongozi au raisi (hasahasa UOVU wake: wizi, ufisadi, utekaji n.k) na sio nchi yake. Hapa umekuwa ukikosea RUDI DARASANI.
Umekuwa pia ukitumia neno "UTU" nalo wakati katika uongozi wako wote haujawahi kuonesha utu kwenye kitu chochote. Kwenye hili nalo mweshimiwa Samia RUDI DARASANI
Umekuwa pia ukitumia neno "UTU" nalo wakati katika uongozi wako wote haujawahi kuonesha utu kwenye kitu chochote. Kwenye hili nalo mweshimiwa Samia RUDI DARASANIKwa miaka na miaka umekuwa ukitumia neno "uzalendo" katika muktadha wa kumaanisha mtu aliyetayari kumtetea kiongozi au raisi (hasahasa UOVU wake: wizi, ufisadi, utekaji n.k) na sio nchi yake. Hapa umekuwa ukikosea RUDI DARASANI.
Umekuwa pia ukitumia neno "UTU" nalo wakati katika uongozi wako wote haujawahi kuonesha utu kwenye kitu chochote. Kwenye hili nalo mweshimiwa Samia RUDI DARASANI
Kuambiwa arudi shule ni ushauri mzuri tu na wa kujenga hata kama una cheo gani katika jamii! Elimu na maarifa ni muhimu sana kwa kiongozi. Kumbuka elimu haina mwisho.Huyo ni Rais tena wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lazima heshima na utii iwepo hata kama hafanyi vile unavyotaka wewe. Asalam Alekum!