Samia Suluhu ajivunia kutoa ajira 7,593 nje ya Nchi(Uarabuni)🤣🤣🤣

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
IMG-20260501-WA0002.jpg

"Serikali imeratibu upatikanaji wa fursa za ajira nje ya nchi, na vijana wa Kitanzania 7,593 tumewapatia ajira. Mwisho wa kunukuu.

Hayo ameyasema Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.

MY TAKE:

Tanganyika awamu hii tumepatikana. Hakuna Mzanzibar mwenye huruma na Mtanganyika. Mfe, mlalamike, Mtekwe, yeye ni chura kiziwi. Mama wa kambo. Wanaokula kwenye sahani yake ndio tu wanampamba.

Nchi ipo rehani.. Autopilot 🤣🤣
Screenshot_20260501_201335_Instagram.jpg

Samia Suluhu akijichukua Selfie na Nguchiro..

Wanatuona Manyani. Wakati Zanzibar amewaongezea laki mbili kwenye Mshahara, Tanganyika hawajaongezewa hata mia.
 
"Serikali imeratibu upatikanaji wa fursa za ajira nje ya nchi, na vijana wa Kitanzania 7,593 tumewapatia ajira. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. Mwisho wa kunukuu

MY TAKE:

Tanganyika awamu hii tumepatikana. Hakuna Mzanzibar mwenye huruma na Mtanganyika. Mfe, mlalamike, Mtekwe, yeye ni chura kiziwi. Mama wa kambo.

Nchi ipo rehani.. Autopilot 🤣🤣
Ilaaaniwe CCM na alaaniwe Kikwete kwa ujinga huu unaoendelea
 
"Serikali imeratibu upatikanaji wa fursa za ajira nje ya nchi, na vijana wa Kitanzania 7,593 tumewapatia ajira. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. Mwisho wa kunukuu

MY TAKE:

Tanganyika awamu hii tumepatikana. Hakuna Mzanzibar mwenye huruma na Mtanganyika. Mfe, mlalamike, Mtekwe, yeye ni chura kiziwi. Mama wa kambo.

Nchi ipo rehani.. Autopilot 🤣🤣
Ilaaaniwe CCM na alaaniwe Kikwete kwa ujinga huu unaoendelea
 
"Serikali imeratibu upatikanaji wa fursa za ajira nje ya nchi, na vijana wa Kitanzania 7,593 tumewapatia ajira. Mwisho wa kunukuu.

Hayo ameyasema Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.

MY TAKE:

Tanganyika awamu hii tumepatikana. Hakuna Mzanzibar mwenye huruma na Mtanganyika. Mfe, mlalamike, Mtekwe, yeye ni chura kiziwi. Mama wa kambo. Wanaokula kwenye sahani yake ndio tu wanampamba.

Nchi ipo rehani.. Autopilot 🤣🤣
Ma yaya ndio ajira anatamba nayo ? Khaaaa kweli tumepatikana ....viwanda yeye hataki kusikia ila u yaya Oman diuuu
 
Ilaaaniwe CCM na alaaniwe Kikwete kwa ujinga huu unaoendelea
Samia madaraka yamemlevya mno mno halafu anaona watanganyika ni kama tumbili tu. Angalia sana vitu anavyosema na kutenda. Kila kitu ni dole la kati anatupiga. 1. Alimpa mwanae uwaziri halafu akauliza kwa kebehi amefanana na nani? 2. Uteuzi wa Kiziga ni kama kusema wajinga nyie mtanifanya nini. Ni mengi... Kinachonishangaza ni kuwa hivi huko CCM pamoja na ununda wao, hawaoni haya? Hivi wanajua nchi inaelekea kubaya kabisa... ?
 
"Serikali imeratibu upatikanaji wa fursa za ajira nje ya nchi, na vijana wa Kitanzania 7,593 tumewapatia ajira. Mwisho wa kunukuu.

Hayo ameyasema Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.

MY TAKE:

Tanganyika awamu hii tumepatikana. Hakuna Mzanzibar mwenye huruma na Mtanganyika. Mfe, mlalamike, Mtekwe, yeye ni chura kiziwi. Mama wa kambo. Wanaokula kwenye sahani yake ndio tu wanampamba.

Nchi ipo rehani.. Autopilot 🤣🤣
Tunaposema zati bi+ch is an idiot, mtuelewe! Wenzake wanajivunia export of skilled labor, yeye anajivunia export of domestic servants!
 
Kweli nimeamini Wazanzibari wanalipa kisasi walichofanyiwa na Mkapa mwaka 2000
Wamepanga kabla muda haujaisha wawe wameanzisha shirika la ndege yao. Air Zanzibar..

Inadaiwa pia sasa hivi mapato yanagawanywa nusu kwa nusu.. Watu mil 50 utagawana vipi na watu mil 10 nusu kwa nusu? Eti ni mgao wa nchi kwa nchi sio watu kwa watu
 
Back
Top Bottom