Samia Suluhu ajivunia kutoa ajira 7,593 nje ya Nchi(Uarabuni)🤣🤣🤣

Kumbe ni milioni mbili halafu wanataka pasu kwa pasu na Tanganyika. Yaani misaada ikiletwa Tanzania wanataka pasu kwa pasu eti.. Na Samia Suluhu kakubali🤣🤣🤣
Hii pasu kwa pasu haiwezi kutokea. Labda kama wamemiss maandamano 🧐
 
Naona haters mnajitahidi katika hili na lile.....poleni sana.
Hata hivyo, sijaona sehemu yoyote amesema uarabuni.
 
Mnaonufaika na Samia mtajitahidi kimtetea ila mtakata tamaa.. Unataka hadi aseme kwani Watu si wanajua. Au ajira hukuziona zilipotangazwa?
 
Naona haters mnajitahidi katika hili na lile.....poleni sana.
Hata hivyo, sijaona sehemu yoyote amesema uarabuni.
Haters ni wale wanaohoji kwanini Tanzania bara hawajaoongezewa Mshahara halafu Zanzibar wameongezewa laki 2 kima cha chini?
Hivi wewe unamtetea mwananchi kweli? Unalipwaje?
 
View attachment 3582628
"Serikali imeratibu upatikanaji wa fursa za ajira nje ya nchi, na vijana wa Kitanzania 7,593 tumewapatia ajira. Mwisho wa kunukuu.

Hayo ameyasema Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.

MY TAKE:

Tanganyika awamu hii tumepatikana. Hakuna Mzanzibar mwenye huruma na Mtanganyika. Mfe, mlalamike, Mtekwe, yeye ni chura kiziwi. Mama wa kambo. Wanaokula kwenye sahani yake ndio tu wanampamba.

Nchi ipo rehani.. Autopilot 🤣🤣
View attachment 3582625
Samia Suluhu akijichukua Selfie na Nguchiro..

Wanatuona Manyani. Wakati Zanzibar amewaongezea laki mbili kwenye Mshahara, Tanganyika hawajaongezewa hata mia.
Afurahia Watanganyika kwenda ughaibuni kuwa manamba/watumwa!?
 
Hii laana ilitokea wapi!? Mbona nafsi zetu ni kutumia tu kila uchwao?
 
Back
Top Bottom