figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Ilaaaniwe CCM na alaaniwe Kikwete kwa ujinga huu unaoendelea"Serikali imeratibu upatikanaji wa fursa za ajira nje ya nchi, na vijana wa Kitanzania 7,593 tumewapatia ajira. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. Mwisho wa kunukuu
MY TAKE:
Tanganyika awamu hii tumepatikana. Hakuna Mzanzibar mwenye huruma na Mtanganyika. Mfe, mlalamike, Mtekwe, yeye ni chura kiziwi. Mama wa kambo.
Nchi ipo rehani.. Autopilot 🤣🤣

Ma yaya ndio ajira anatamba nayo ? Khaaaa kweli tumepatikana ....viwanda yeye hataki kusikia ila u yaya Oman diuuu"Serikali imeratibu upatikanaji wa fursa za ajira nje ya nchi, na vijana wa Kitanzania 7,593 tumewapatia ajira. Mwisho wa kunukuu.
Hayo ameyasema Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.
MY TAKE:
Tanganyika awamu hii tumepatikana. Hakuna Mzanzibar mwenye huruma na Mtanganyika. Mfe, mlalamike, Mtekwe, yeye ni chura kiziwi. Mama wa kambo. Wanaokula kwenye sahani yake ndio tu wanampamba.
Nchi ipo rehani.. Autopilot 🤣🤣
Samia madaraka yamemlevya mno mno halafu anaona watanganyika ni kama tumbili tu. Angalia sana vitu anavyosema na kutenda. Kila kitu ni dole la kati anatupiga. 1. Alimpa mwanae uwaziri halafu akauliza kwa kebehi amefanana na nani? 2. Uteuzi wa Kiziga ni kama kusema wajinga nyie mtanifanya nini. Ni mengi... Kinachonishangaza ni kuwa hivi huko CCM pamoja na ununda wao, hawaoni haya? Hivi wanajua nchi inaelekea kubaya kabisa... ?Ilaaaniwe CCM na alaaniwe Kikwete kwa ujinga huu unaoendelea
Tunaposema zati bi+ch is an idiot, mtuelewe! Wenzake wanajivunia export of skilled labor, yeye anajivunia export of domestic servants!"Serikali imeratibu upatikanaji wa fursa za ajira nje ya nchi, na vijana wa Kitanzania 7,593 tumewapatia ajira. Mwisho wa kunukuu.
Hayo ameyasema Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.
MY TAKE:
Tanganyika awamu hii tumepatikana. Hakuna Mzanzibar mwenye huruma na Mtanganyika. Mfe, mlalamike, Mtekwe, yeye ni chura kiziwi. Mama wa kambo. Wanaokula kwenye sahani yake ndio tu wanampamba.
Nchi ipo rehani.. Autopilot 🤣🤣
Mkuu unashangaa nini kwa mtu ambaye ndoto yake ilikuwa kuwa Airhostess?Ma yaya ndio ajira anatamba nayo ? Khaaaa kweli tumepatikana ....viwanda yeye hataki kusikia ila u yaya Oman diuuu
Wamepanga kabla muda haujaisha wawe wameanzisha shirika la ndege yao. Air Zanzibar..Kweli nimeamini Wazanzibari wanalipa kisasi walichofanyiwa na Mkapa mwaka 2000
Kwani Zanzibar ina watu milioni 10? Sio milioni 2?Wamepanga kabla muda haujaisha wawe wameanzisha shirika la ndege yao. Air Zanzibar..
Inadaiwa pia sasa hivi mapato yanagawanywa nusu kwa nusu.. Watu mil 50 utagawana vipi na watu mil 10 nusu kwa nusu? Eti ni mgao wa nchi kwa nchi sio watu kwa watu
Hata 2ml hawafikiKwani Zanzibar ina watu milioni 10? Sio milioni 2?
Kumbe ni milioni mbili halafu wanataka pasu kwa pasu na Tanganyika. Yaani misaada ikiletwa Tanzania wanataka pasu kwa pasu eti.. Na Samia Suluhu kakubali🤣🤣🤣Kwani Zanzibar ina watu milioni 10? Sio milioni 2?
Kama hata Milioni 2 hawafikii, basi hata hiyo 18% ya PAYE waliyokuwa wanapewa kabla ya Samia hawakupaswa kupewa.Hata 2ml hawafiki
Si ndio hapo sasa 😂Hata 2ml hawafiki