Samia Suluhu ajivunia kutoa ajira 7,593 nje ya Nchi(Uarabuni)🤣🤣🤣

Kumbe ni milioni mbili halafu wanataka pasu kwa pasu na Tanganyika. Yaani misaada ikiletwa Tanzania wanataka pasu kwa pasu eti.. Na Samia Suluhu kakubali🤣🤣🤣
Hii pasu kwa pasu haiwezi kutokea. Labda kama wamemiss maandamano 🧐
 
Naona haters mnajitahidi katika hili na lile.....poleni sana.
Hata hivyo, sijaona sehemu yoyote amesema uarabuni.
 
Naona haters mnajitahidi katika hili na lile.....poleni sana.
Hata hivyo, sijaona sehemu yoyote amesema uarabuni.
Mnaonufaika na Samia mtajitahidi kimtetea ila mtakata tamaa.. Unataka hadi aseme kwani Watu si wanajua. Au ajira hukuziona zilipotangazwa?
Your browser is not able to display this video.
 
Naona haters mnajitahidi katika hili na lile.....poleni sana.
Hata hivyo, sijaona sehemu yoyote amesema uarabuni.
Haters ni wale wanaohoji kwanini Tanzania bara hawajaoongezewa Mshahara halafu Zanzibar wameongezewa laki 2 kima cha chini?
Hivi wewe unamtetea mwananchi kweli? Unalipwaje?
 
Afurahia Watanganyika kwenda ughaibuni kuwa manamba/watumwa!?
 
Hii laana ilitokea wapi!? Mbona nafsi zetu ni kutumia tu kila uchwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…