Samia Suluhu ameshindwa kutupa Katiba Mpya lakini bado wanataka kumuongezea vyeo

Mama LA mama ndie rais. Wangu mtukufu we kama humpendi kaloweke kende zako kwenye chumvi make bado unamavundo ya hasira za kutoteuliwa ng'ombe wa mayai wewe
 
Ukahaba,that is what is happening. Wanawake wale makahaba hawana interest ya sex,wanamtaka tu kujua Ina shiling ngapi

Halafu kuna makahaba. wengine .Ukiwapa hela wanamchinja mtu. Hawana interest kama mtu amekosa au hajakosa. Hao pia niakahaba. Make no mistake.
People are behaving pompously , supposedly,they are trying to do something good for the nation. Halafu wamapoona wameshindwa,they are overhauling the government, recycling the government, retrenching workers,to what purpose is all this troubling of the nation?
 
Natamani ningekuwa Karibu yako nilipe bill ya chochote utakachokula na kunywa. Yaani una akili ya kuelezea mbumbumbu kitu akakuelewa. Hilo -TAGA limetumwa naamini huko liliko halina hamu kurudi hapa. Si kwa majibu haya yaliyotulia. Kula 5
 
Magufuli amgeweza kuleta Katiba mpya nakubaliana na wewe. Aliwaandaa kina Ndugai, Ally Keissy, Kibajaji na Deo Sanga kuandaa muswada wa katiba mpya ya kuwa Rais wa kudumu.
Mungu ni fundi Aisee. Tungejeuka Kosovo
 
Samia Suluhu kaongeza furaha ya wananchi. Furaha ndio tatizo.
Mtu akikasirika bila sababu siku zote amaulizwa,we umekasirika nini?
Lakini mtu akifurahi bila sababu haulizwi,we mheshimiwa ,umefurahishwa na nini? Huko ghetto watu wana furaha sana. In fact wakati fulani kulikuwa na kipindi Cha tv,"Uswazi' kilichokuwa kinasema anayedhania watu wa ghetto wana huzuni ni mjinga.
Tunaona vijana 800 wanafukuzwa kazi siku moja
Na hivyo Rais ndio anàanza tu kazi.
 
Kutambua haki zao kikatiba,kudai katiba mpya na kudai Tume huru ya Uchaguzi ,hadi sasa serikali inaogopa sana wananchi kwa ujumla wao wakafikia kusimama kidete kudai katiba mpya na kudai tume huru ya Uchaguzi inayokubalika na vyama na wananchi wote.

Haya yanayotokea sasa teuzi kubadilisha huyu na yule kufanya ziara na kutafuta kiki za hapa na pale ni kuwapumbaza watu na kuwalewesha maigizo yasiyokwisha.

Wanaloliogopa ni umma wa Nchi hii kusimama pamoja na kudai katiba mpya na tume huru ya Uchaguzi, hilo CCM wachache wanaliogopa sana sana na wanapokaa wenyewe hupeana tahadhari wasije wakalitonesha donda hili,ndio ukasikia au ukaona hakuna kiongozi yeyote wa serikali anaethubutu hata kuligusia japo kwa mbali.

Nasaha kwa vyama vya upinzani achaneni na mambo yote haya mambo mawili sasa ndio myashikie mabango mpaka washinwe kuvumilia kwa kujua sasa si shwari tena.
 
Unakuta mbunge anajisifia kusema watu wangu. Huku hao watu wakiteseka, fukara. Shule majengo shida, huduma za afya tabu. Mtu mmoja analipwa mamilioni.
Hakuna haki. Wabunge wenyewe majimboni hawaonekani. Wakienda Bungeni maswali ni yale yale toka nazaliwa hakuna linalo badilika. Utasikia korosho, Pamba, ufugaji, madini, elimu. Hivi haya yote hayajapata ufumbuzi toka wakati wa Nyerere hadi Leo! Miaka 60 tunaongelea jambo lile lile!
Ulaya ya miaka ya hamsini na tisini ilikuwa masikini si kama ya Leo. China, Malyasia, India, Korea na nyinginezo walikuwa masikini.
Je sisi watanzania tumelaniwa nini? Nyerere alitupatia viwanda leo vyote hakuna.
Shida ni nini? Nilibahatika kufanya kazi serikalini, nilipo ingia nilishangaa mengi. Hapo nikajua Tanzania kwendelea ni kazi. Tutapiga mark time.
Tunahitaji kubadili mfumo wa kiutumishi. Tunahitaji kubadili matumizi ya fedha na mshahara. Tunahitaji kubadili mfumo wa utekelezaji wa miradi.
Pia kubadili mfumo wa Bunge. Na kuwa na wabunge wachache. Kufuta viti maalum. Na wabunge wawajibishwe mara wanapokuwa si wawajibikaji.
Hivyo tunahitaji muundo mpya wa serikali. Hata baraza la mawaziri hatuhitaji utitiri wa mawaziri.

Kuna mtaalamu wa ujenzi ni Afisa mkubwa walijenga barabara isiyo na kiwango ktk kumhoji akanambia akijenga ya kiwango yeye na familia yake watakula nini?
Anajua hyo isiyo na kiwango baada ya muda itahitaji matengenezo hivyo atapata fedha. Nilichoka!

Afisa mmoja mkubwa anateuliwa na Rais akanambia usipo kula fedha ya serikali wengine wanakula. Usiangalie kuendeleza nchi. Jiendeleze mwenyewe.
Baada ya muda niliona niache kazi ya serikali na kufanya kazi katika mashirika ya kimataifa.

Tuombeni na kudai Katiba mpya. La sivyo hata vyama shindani vikiingia bado ni yale yale.
 
Kumbe ni wewe!.
P
 
Mara nyingi huwa nakifiria kizazi kijacho.
Kuna hatari ya sisi kuonekana tusiofaa kwa wakati wao kuliko hata hao tuliowapachika jina la "wakoloni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…