Samia Suluhu anatulazimisha kuwalilia wateule wake Viongizi wakati hatuna machozi🤣

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Kulia na kucheka inategemeana na moyo pamoja na akili ya mtu. Huwezi kufurahia kifo cha mtoto wangu halafu nihuzikie kifo chako. Samia akumbushwe kuhusu 29 Oktoba 2025 then atuoneshe wapi alilia..

Kila mtu ashinde mechi zake. Hakuna kuungana mkono.. Pambaneni na misiba kama mnavyofurahia raia kufa na kutekwa peke yenu.
FB_IMG_1774635044059.jpg

View attachment 3563491
Faki zati bichi.
 
Anaingilia mpaka furaha za watu huyu ameua watu October 29 anataka nini kingine huyu mama anashida gani bado yeye ameua watanganyika huyu mama alafu watanganyika wako kimya Kikwete popote ulipo Mungu atakushugulikia
 
Shut your bytch ass up you stupid murderer.

Tunasuburi kulipuka kwa shangwe, nderemo, na vifijo siku utayokufa na tutalitandika mijeledi hilo limaiti lako.

Mburukenge wewe šŸ–•.
 
Anaingilia mpaka furaha za watu huyu ameua watu October 29 anataka nini kingine huyu mama anashida gani bado yeye ameua watanganyika huyu mama alafu watanganyika wako kimya Kikwete popote ulipo Mungu atakushugulikia
Kama alikuwa hajui basi na ajue sasa kwamba zamu yake ikifika Watanganyika tutajirusha week nzima. Tutamshukuru Mungu kwa kutuondolea blood-thirsty monster kwenye jamii yetu!
 
Kulia na kucheka inategemeana na moyo pamoja na akili ya mtu. Huwezi kufurahia kifo cha mtoto wangu halafu nihuzikie kifo chako. Samia akumbushwe kuhusu 29 Oktoba 2025 then atuoneshe wapi alilia..

Kila mtu ashinde mechi zake. Hakuna kuungana mkono.. Pambaneni na misiba kama mnavyofurahia raia kufa na kutekwa peke yenu.
View attachment 3563491
MAANDIKO MATAKATIFU yamekataza kumlilia shetani
 
Emotions za watu nazo ni za kuzitolea msimamo kweli...officially?

Mimi nikilia Taifa stars kufungwa na Liechtenstein huyu anacheka.
Huyu anazimia Simba kufungwa Bejamini mkapa yule anacheeeka.

Wewe unamlilia Jennista, mimi silii, siguswi kwasab na wewe hukulia na mimi.....Yaani ufiwe wewe halafu unataka kulazimisha tulie wote kisa.
 
Inauma eee...!
Na bado.
Tunakisubiria kifo chako mioyo yetu ipasuke kwa furaha kuu kushangilia malipizi yetu kama jinsi wewe ulivyofurahia kuteketezwa kwa wapendwa wetu OCT29.
 
Kutokuvumilia kukosolewa ni moja ya mambo yaliyosababisha raia wengine kufurahia viongozi wanapokufa.

Kutokuvumilia hizo furaha zao kunaweza kupelekea maafa makubwa zaidi. Hiyo furaha ni ujumbe tosha kuwa kuna watu wanawaombea kifo.

Kushindwa kuwavumilia na kutafuta suluhisho sahihi kunaweza kupelekea watu hao hao kufanya mengine wakiona maombi yao hayatimii kwa muda.
 
Back
Top Bottom