Samia Suluhu anatulazimisha kuwalilia wateule wake Viongizi wakati hatuna machozi🤣

Samia Suluhu anatulazimisha kuwalilia wateule wake Viongizi wakati hatuna machozi🤣

tusipoangalia polepole tutakuwa north korea.ccm watatufikisha huku na genge lake la samia
 
Huyu muuwaji akifa, sinywi champagne, nitanunuwa chupa ya kangara moja kwa moja toka usukumani au unyamwezini!
 
Kulia na kucheka inategemeana na moyo pamoja na akili ya mtu. Huwezi kufurahia kifo cha mtoto wangu halafu nihuzikie kifo chako. Samia akumbushwe kuhusu 29 Oktoba 2025 then atuoneshe wapi alilia..

Kila mtu ashinde mechi zake. Hakuna kuungana mkono.. Pambaneni na misiba kama mnavyofurahia raia kufa na kutekwa peke yenu.
View attachment 3563491
View attachment 3563543
Hakika ipo siku yaja hilo litakoma na itakuwa shangw na vifijo kwa wana wa taifa hili.
 
Anaingilia mpaka furaha za watu huyu ameua watu October 29 anataka nini kingine huyu ma
FB_IMG_1758911940479.jpg
FB_IMG_1759635955078.jpg
ma anashida gani bado yeye ameua watanganyika huyu mama alafu watanganyika wako kimya Kikwete popote ulipo Mungu atakushugulikia
 
Back
Top Bottom