Samia Suluhu anatulazimisha kuwalilia wateule wake Viongizi wakati hatuna machozi🤣

tusipoangalia polepole tutakuwa north korea.ccm watatufikisha huku na genge lake la samia
 
Huyu muuwaji akifa, sinywi champagne, nitanunuwa chupa ya kangara moja kwa moja toka usukumani au unyamwezini!
 
Hakika ipo siku yaja hilo litakoma na itakuwa shangw na vifijo kwa wana wa taifa hili.
 
Anaingilia mpaka furaha za watu huyu ameua watu October 29 anataka nini kingine huyu mama anashida gani bado yeye ameua watanganyika huyu mama alafu watanganyika wako kimya Kikwete popote ulipo Mungu atakushugulikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…