Samia Suluhu awa Rais wa Kwanza nchini kumiliki application yake kwa ajili ya kazi Siasa na Uongozi

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Nimepita katika pitapita zangu mitandaoni, pale mjini Instagram nakutana na page inayoitwa @samia.app nikawa natazama ajali ya kariakoo ambayo bwana Alikiba alikuwa anahojiwa na page hiyo ya Samia.app kuhusu ajali hiyo ambayo yeye pia alifika kutoa msaada na kuangalia namna zoezi linavyokwenda.

Nikajiuliza ngoja niingie Playstore kuangalia kama kuna App inayoitwa Samia App. Kuingia Playstore nakutana na App hiyo ambayo imetengenezwa na developer aliyetengeneza Application ya CCM.

Screenshot_20241119-082430_1.jpg

Nakatika muktadha huo, Rais Samia Suluhu Hassan anakuwa Rais wa kwanza Nchini Tanzania kuwa na Application yake kwa ajili ya habari zake za kisiasa na uongozi. Hakuna rais aliyewahi kuja na Historia hii.
 
View attachment 3155819

Hilo liko kinyume na katiba ya nchi?
 
Hii inamchango gan ktk taifa masikini kama hili?
 
Kama vile mabango yaliyotandazwa nchi nzima hayatoshi, nikaongeze na app kwenye simu yangu. Pumbavu kabisa.
 
Nimepita katika pitapita zangu mitandaoni, pale mjini Instagram nakutana na page inayoitwa @samia.app nikawa natazama ajali ya kariakoo ambayo bwana Alikiba alikuwa anahojiwa na page hiyo ya Samia.app kuhusu ajali hiyo ambayo yeye pia alifika kutoa msaada na kuangalia namna zoezi linavyokwenda.

Nikajiuliza ngoja niingie Playstore kuangalia kama kuna App inayoitwa Samia App. Kuingia Playstore nakutana na App hiyo ambayo imetengenezwa na developer aliyetengeneza Application ya CCM.

View attachment 3155819

Nakatika muktadha huo, Rais Samia Suluhu Hassan anakuwa Rais wa kwanza Nchini Tanzania kuwa na Application yake kwa ajili ya habari zake za kisiasa na uongozi. Hakuna rais aliyewahi kuja na Historia hii.
App ya ccm
 
Sasa kama awamu yake imekuwa ya hovyo kuliko awamu zote zilizopita je hiyo tovuti yake inatusaidia nini sisi wananchi?wananchi tunataka maji,barabara,huduma nzuri hospital na uchumi imara fullstop
 
Nimepita katika pitapita zangu mitandaoni, pale mjini Instagram nakutana na page inayoitwa @samia.app nikawa natazama ajali ya kariakoo ambayo bwana Alikiba alikuwa anahojiwa na page hiyo ya Samia.app kuhusu ajali hiyo ambayo yeye pia alifika kutoa msaada na kuangalia namna zoezi linavyokwenda.

Nikajiuliza ngoja niingie Playstore kuangalia kama kuna App inayoitwa Samia App. Kuingia Playstore nakutana na App hiyo ambayo imetengenezwa na developer aliyetengeneza Application ya CCM.

View attachment 3155819

Nakatika muktadha huo, Rais Samia Suluhu Hassan anakuwa Rais wa kwanza Nchini Tanzania kuwa na Application yake kwa ajili ya habari zake za kisiasa na uongozi. Hakuna rais aliyewahi kuja na Historia hii.
Si rais wa kwanza, labda rais wa kwanza tanzania
 
Back
Top Bottom