Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Tanzania aliyeingia madarakani baada ya kutokea kwa kifo cha mtangulizi wake John Magufuli Machi 2021.
Ameweka rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo wa juu zaidi nchini Tanzania.
Pia anakuwa rais wa pili wa Tanzania kutokea Zanzibar, wa kwanza akiwa Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyeliongoza taifa hilo kwa miaka 10 kutoka mwaka 1985 hadi 1995.
.
Aina ya kuchukua hatamu kwa Samia kumekuja mara ya kwanza nchini Tanzania, yaani kwa rais kufariki akiwa madarakani na makamu wake kuchukua nafasi.
Kwa Watanzania wengi, jina la Samia Hassan Suluhu lilipata umaarufu zaidi wakati alipoteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba lililoteuliwa mwaka 2014.
Tanzania ilikuwa inaelekea kutengeneza Katiba mpya - baada ya kukamilika kwa kazi ya kukusanya wananchi kupitia Tume ya Jaji Warioba na Mama Samia alikuwa amepewa jukumu la kutekeleza mchakato huo kupitia Bunge la Katiba.
.
Kwa sababu bunge lile lilikuwa limeonyeshwa moja kwa moja kwa vituo mbalimbali vya runinga na Watanzania wengi wakiwa na kiu kubwa ya kujua nini kinaendelea - sura ya Samia ilianza kuzoeleka kwenye macho ya wengine na uwezo wa kuongoza ukionekana dhahiri.
.
Katika duru za kisiasa bungeni wakati ule, Samia alikuwa akifahamika kwa uwezo wa kuonyesha - hata nyakati ambazo hali ya hewa katika bunge ikiwa imechafuka na pia njia na wote.
Muundo wa bunge hilo ulitaka viongozi wake juu watoke katika pande mbili za muungano na kwa mwenyekiti wa bunge hilo alikuwa ni hayati Samuel Sitta kutoka Tanzania Bara, nafasi ya Makamu Mwenyekiti iliangukia kwa Mzanzibari Samia.
Hata hivyo, wengi waliotarajia kwamba angetangazwa na urais wa chama cha mapinduzi mwaka 2015, John Magufuli, kuwa mwenza wake kwenye uchaguzi huo.
Ingawa wakati huo tayari alikuwa na uzoefu wa uwaziri wa takribani miaka 15; kujumlisha na uzoefu wake huo katika Bunge la Katiba- si watu wengi walimwona yeye kama mmoja wa watu wanaoweza kupewa wadhifa huo.
Wakati CCM iliposhinda katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 - unaotajwa kuwa mgumu kuliko chama hicho tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini - Samia aliweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo tangu kuanzishwa kwa taifa la Tanzania.
.
SOURCES BBC SWAHILI