GE2025 Samia Suluhu Hassan akabidhiwa Hati ya Ushindi na INEC

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Makumbele

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2009
Posts
312
Reaction score
1,433
Aliyekuwa Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Ushindi wa Kiti cha Urais kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jaji Jacobs Mwambegele mara baada ya kutangazwa mshindi wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025, hafla hiyo ya kukabidhiwa Cheti imefanyika katika Makao Makuu ya Tume Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 01 Novemba 2025.



 
Mitano tena kwa mama, tujiandae kwa maendeleo!
 

Bila hata AIBU.

Uchaguzi wa Rais unatangazwa ksbla hata ya Wahunge...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…