figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Salaam Watanzania.
Kwa ufupi ni kwamba Nchi imekwama. Watanzania wanabaki wameduwaa.
Samia Suluhu Hassan amebaki na Mamlaka ya Urais kama taasisi tu ila kapoteza Mvuto.
Kageuka kituko kila mtu anamshangaa.
Na Watanzania msitegemee kuna kitu chochote kitafamyika kwa mika 4 iliyobakiza ya kuikalia Tanganyika kimabavu.
Watanganyika wameungana, Wazanzibari tumbo joto.
Nashauri kila Mtanganyika ujiwekee akiba Nyumbani.. Wanasiasa wenye ushawishi kaeni kwa machale..
Mtumbwi umetoboka, maji yameanza kuingia