figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kaza sauti😂Salaam Watanzania.
Kwa ufupi ni kwamba Nchi imekwama. Watanzania wanabaki wameduwaa.
Samia Suluhu Hassan amebaki na Mamlaka ya Urais kama taasisi tu ila kapoteza Mvuto.
Kageuka kituko kila mtu anamshangaa.
Na Watanzania msitegemee kuna kitu chochote kitafamyika kwa mika 4 iliyobakiza ya kuikalia Tanganyika kimabavu.
Watanganyika wameungana, Wazanzibari tumbo joto.
Nashairi kila Mtanganyika ujiwekee akiba Nyumbani.. Wanasiasa wenye ushawishi kaeni kwa machale..
Mtumbwi umetoboka, maji yameanza kuingia
Ingekua kweli kama factors zote zipo sawa, lakini ujue waTanzania (WaTanganyika) wamegawika sana, hasa kiimani, hicho kitu hakiwezekani. Mtumwa akishapewa kushiba hawezi kukumbuka wenziwe; ndiyo tulivyo waTanganyika. Uliwahi kufikiri Jakaya angemsaliti Lowassa?Salaam Watanzania.
Kwa ufupi ni kwamba Nchi imekwama. Watanzania wanabaki wameduwaa.
Samia Suluhu Hassan amebaki na Mamlaka ya Urais kama taasisi tu ila kapoteza Mvuto.
Kageuka kituko kila mtu anamshangaa.
Na Watanzania msitegemee kuna kitu chochote kitafamyika kwa mika 4 iliyobakiza ya kuikalia Tanganyika kimabavu.
Watanganyika wameungana, Wazanzibari tumbo joto.
Nashairi kila Mtanganyika ujiwekee akiba Nyumbani.. Wanasiasa wenye ushawishi kaeni kwa machale..
Mtumbwi umetoboka, maji yameanza kuingia
..umeduwaa peke yako, hakuna jipya zaid ya ujinga ule ule wa siku zote..miaka 4 aliyobakiza ipi? wewe ndio timekeeper? asipofika utasemaje..Salaam Watanzania.
Kwa ufupi ni kwamba Nchi imekwama. Watanzania wanabaki wameduwaa.
Samia Suluhu Hassan amebaki na Mamlaka ya Urais kama taasisi tu ila kapoteza Mvuto.
Kageuka kituko kila mtu anamshangaa.
Na Watanzania msitegemee kuna kitu chochote kitafamyika kwa mika 4 iliyobakiza ya kuikalia Tanganyika kimabavu.
Watanganyika wameungana, Wazanzibari tumbo joto.
Nashairi kila Mtanganyika ujiwekee akiba Nyumbani.. Wanasiasa wenye ushawishi kaeni kwa machale..
Mtumbwi umetoboka, maji yameanza kuingia
Ipo tunasikilizia ya nabii suguyeKuna habari mpya kwani?
Itakuwa ngumu sana kumshawishi mtu aina ya Mohamed Said aungane na wewe Mshana dhidi ya mambo ya hovyo yanayoendelea saivi.Watanganyika wameungana, Wazanzibari tumbo joto.🥺🙇🏿♂
Mbona unajidanganya? Unawajua vyema Wazanzibari na historia ya Zanzibar?Watanganyika wameungana, Wazanzibari tumbo joto.
Katika hili, usijisahau. Tumo kwenye mtumbwi mmoja. Kaa tayari.Mtumbwi umetoboka, maji yameanza kuingia
Huyu aliyeleta deni la Taifa kufika Trilioni 125 kwa Sasa? Punguza utani.Huyu ndio raisi niliyokuwa natamani awe watanyooka sana
Madikteta huishia vibaya sijui ni yupi alikwepa jambo hili.Salaam Watanzania.
Kwa ufupi ni kwamba Nchi imekwama. Watanzania wanabaki wameduwaa.
Samia Suluhu Hassan amebaki na Mamlaka ya Urais kama taasisi tu ila kapoteza Mvuto.
Kageuka kituko kila mtu anamshangaa.
Na Watanzania msitegemee kuna kitu chochote kitafamyika kwa mika 4 iliyobakiza ya kuikalia Tanganyika kimabavu.
Watanganyika wameungana, Wazanzibari tumbo joto.
Nashauri kila Mtanganyika ujiwekee akiba Nyumbani.. Wanasiasa wenye ushawishi kaeni kwa machale..
Mtumbwi umetoboka, maji yameanza kuingia
Watanzania wwmepoteza tena. Walitegemea atawaletea maendeleo akawaletea mikopo. Kashaanza kukusanya vilago vyake asitaafu. Maendeleo mlotegemea ndo basi tenaKazi ipo!!